Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Amekumbushia tuMbona hii ipo kwenye vitabu vya dini vyote!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekumbushia tuMbona hii ipo kwenye vitabu vya dini vyote!!!
MaybeLakini havisemwi
Jina litasoma nani?Wewe tuma tu na Mungu atakubariki. Usipotuma pia sawa.
na wasipofanya hivyo ameaema nini kitatokea?Amewaonya watumishi wa Mungu wasiosema ukweli na kudanganya mbele ya viongozi Mungu atawaadhibu.
Amesema unapomdanya Mtawala awe mbunge au Diwani hata pale anapokosea basi unawaumiza wale anaotawala.
Amehimiza viongozi wote wa dini kuhubiri Neno la kweli na kwamba wao wawe washauri bora wa watawala kwa kuwa wao wanaaminika.
Amesema Mungu atawaaibisha Watumishi wa Dini wasio enenda sawa sawa na mapenzi yakena wasipofanya hivyo ameaema nini kitatokea?
unataka kujua huo unabii uliokutetemesha ili na sisi tukae chonjo
Achana na matapeli ndugukuna nabii mmoja hiv alitabiri dasalamu itafunikwa na maji akishauri watu wawauzie wengine hayo majumbani
Sasa sijui alitaka sisi wa huku mikoani ndo tuje tusombwe na hayo mafuriko
tulisubiri sana mpaka msimu wa mvia ukaisha watu wanadunda tu
😀😀😀Huyu anataka bakora tu akili zirudi .
aneta huu ujumbe wake kwa kusingizia umetoka kwa Mungu.
Ulitaka amtumie nani kufikisha huo ujumbe..!?Kwa nini MUNGU amtumie yeye huo ujumbe? na sio wengine.
Yaani ndugi yangu kuna maswali mengine watu wamazingua tuUlitaka amtumie nani kufikisha huo ujumbe..!?
Mb 15 tu mkuu usiogope. Unabii hauhitajo SamareMleta mada tupe short story maan mambo mengi🤧
Mwee! Hapo ujinga ni upi aliosema? Au nyie ndio manabii fake?Ujinga mtupu
Hahaha......Mkuu umeshakata tamaa ma watimishi wa Mungu😀😀Anatafuta fursa tu kiongozi, hamna jipya tuliyasikia hayahaya enzi za Moses Kulola akiwa kijana miaka ya 80's na hamna kilichotokea hadi akazeeka na akalamba vumbi! So hamna kipya akiitwa tu akalambishwa naye kesho tu atakua chawa wa nyimbo za sifa kuelekea kijani!
Hahaha......Mkuu umeshakata tamaa ma watimishi wa Mungu😀😀
Hahahaa wale manabii fake KakaMkuu hadi nishazeeka yani, tulikua tunatishwa na issue za namna hii eti unabii masekondarini kule, tukiwa vijana na hamna kilichobadilika hadi sasa nastaafu 😀