Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Jambo lingine sijafahamu kama huu unabii unawahusu na Watumishi wale wa Kipagani au la.Mwili wangu wote unatetemeka, hasa ukizingatia huwa sina Shaka na Watumishi wakweli wa Mungu.
Nabii Denis ameusoma unabii anaodai kwamba umetoka kwa Mungu, ni siku kama mbili au tatu zilizopita.
Nimekutana nao Youtube. Nimeogopa sana.
Ujumbe huo anausoma kama ulivyo andika sina hakika kama ni yeye aliuandika aj Karatasi ilitoka mbinguni ikiwa imeandikwa kama Enzi za Mtume Muhammad SAW alivyopokea ujumbe wa Mungu kwa kuteremshiwa Quran tukufu.
Kila mtu asikilize mwenyewe.
View: https://youtu.be/aYO5xuBhNEA?si=DobuAp4VYiPfLAMb
Eeh kumbe ni Bangi?acheni bangi na huyo mpumbavu mwenzako
Mimi sijui, muhimu tumeusikiliza tuKwa nini MUNGU amtumie yeye huo ujumbe? na sio wengine.
Au wewe ndio huyo nabii?Mimi sijui, muhimu tumeusikiliza tu
amesema nini huyo nabiiMwili wangu wote unatetemeka, hasa ukizingatia huwa sina Shaka na Watumishi wakweli wa Mungu.
Nabii Denis ameusoma unabii anaodai kwamba umetoka kwa Mungu, ni siku kama mbili au tatu zilizopita.
Nimekutana nao Youtube. Nimeogopa sana.
Ujumbe huo anausoma kama ulivyo andikwa sina hakika kama ni yeye aliuandika au Karatasi ilitoka mbinguni ikiwa imeandikwa kama Enzi za Mtume Muhammad SAW alivyopokea ujumbe wa Mungu kwa kuteremshiwa Quran tukufu.
Kila mtu asikilize mwenyewe.
View: https://youtu.be/aYO5xuBhNEA?si=DobuAp4VYiPfLAMb
Amewaonya watumishi wa Mungu wasiosema ukweli na kudanganya mbele ya viongozi Mungu atawaadhibu.amesema nini huyo nabii
elezea kwa kifupi
Kwani Kosa la Nabii hapo akiwaonya manabii wenzake ni nini? Au wewe ni mtumishi fake anayesemwa hapo?Au wewe ndio huyo nabii?
Daah. Noma kweliDuh aiseee
Hapana mkuu,Kwani Kosa la Nabii hapo akiwaonya manabii wenzake ni nini? Au wewe ni mtumishi fake anayesemwa hapo?
Sasa kama amesema hivyo mbona vitu vya kawaida tuAmewaonya watumishi wa Mungu wasiosema ukweli na kudanganya mbele ya viongozi Mungu atawaadhibu.
Amesema unapomdanya Mtawala awe mbunge au Diwani hata pale anapokosea basi unawaumiza wale anaotawala.
Amehimiza viongozi wote wa dini kuhubiri Neno la kweli na kwamba wao wawe washauri bora wa watawala kwa kuwa wao wanaaminika.
Lakini havisemwiSasa kama amesema hivyo mbona vitu vya kawaida tu
Mbona hii ipo kwenye vitabu vya dini vyote!!!Amewaonya watumishi wa Mungu wasiosema ukweli na kudanganya mbele ya viongozi Mungu atawaadhibu.
Amesema unapomdanya Mtawala awe mbunge au Diwani hata pale anapokosea basi unawaumiza wale anaotawala.
Amehimiza viongozi wote wa dini kuhubiri Neno la kweli na kwamba wao wawe washauri bora wa watawala kwa kuwa wao wanaaminika.
Wewe tuma tu na Mungu atakubariki. Usipotuma pia sawa.Hapana mkuu,
Nimeona namba hapo nilitaka nikutumie sadaka yangu.