The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Moja kati ya nyimbo anazozipenda baba angu. Dogo alijua sanaWale wapenzi wa muziki wa Congo watakua sio wageni wa Petit/Little Reagan. Bwana mdogo aliesherehesha albamu ya mwanamuziki wa Congo B. Bula Ponderation 8 ya mwaka 1999/2000...
Sio yeye mkuu.Nilijua ni yule chikito
Huyo anayeitwa Chikito na yule aliye_rap kwa Blaise Bula ni watu wawili tofauti!? Yule wa Blaise Bula ni kweli alikuwa mdogo wake!? Dogo kwa Blaise Bula aliuwa kinyama. Yaani nilikuwa napenda pale alipokuwa anaanza ku_rap kwa sauti yake ya kitoto.Wale wapenzi wa muziki wa Congo watakua sio wageni wa Petit/Little Reagan. Bwana mdogo aliesherehesha albamu ya mwanamuziki wa Congo B. Bula Ponderation 8 ya mwaka 1999/2000.
Kwenye hiyo albamu ya Ponderation 8, na wimbo wa Ponderation 8 ambao ndio ulibeba jina la albamu, dogo Little Reagan akiwa na miaka 9 tu enzi hizo, alishangaza ulimwengu wa muziki kwa kuingiza vionjo vikali haijawahi kutokea.
Binafsi nimesikitika sana kujua dogo alifariki miaka 3 nyuma kutokana na madawa ya kulevya.
Sikiliza hiyo ngoma, anzia dakika ya 4.48
Pumzika kwa amani dogo.
Hii manzi ilishavuta? Daah
Hii manzi ilishavuta? Daah