Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Inasikitisha. cheti cha Eng kuwa kifungashio!True copy of the original 🐼
Kwa nini uruhusu copies za cheti chako zitumike kihivyo?Ni uzembe wa kutochukua copies zilizobaki bila matumizi na kuziharibu?Hiyo ni photocopy na sio OG.
Hizi karatasi ambazo watu hutengeneza bahasha huwa zinauzwa mkuu
Nahitaji huduma ya kifusiNaenda kuuza kifusi 🙌
Sio original ni copy shenzi original anayo shida nini Mimi mwenyewe copy nazifanyia summary za hesabu Ila original zipo laminatedInasikitisha. cheti cha Eng kuwa kifungashio!
Hata kama siyo original, kujidhalilisha na kudhalilisha fani kwa kutengenezea vifungashio copy ya cheti chako, ni kuridhika kudharaulika.Sio original ni copy shenzi original anayo shida nini Mimi mwenyewe copy nazifanyia summary za hesabu Ila original zipo laminated
🤣🤣hakikaNdiyo amekituma cheti kikatafute pesa
Hio plain paper tu iliyopakwa ink hakuna cha ziadaHata kama siyo original, kujidhalilisha na kudhalilisha fani kwa kutengenezea vifungashio copy ya cheti chako, ni kuridhika kudharaulika.
Katika hilo ukilikubali binafsi, basi hatuwezi kukusaidia maana unaweza kutumika kama door mat kupangusia matope kabla ya kuingia ndani ya nyumba, na mwenyewe ukaridhika tu.