John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Nimeshangaa sana kuona hao mabeki hawapo katika orodha ya mabeki bora katika msimu huu wa NBC PL 2022/2023, Pamoja na michango yao mikubwa sana katika timu zao.
Mbali na hayo, Hivi unaanzaje kuwataja viungo bora bila kumtaja Khalid Aucho? Au TFF mmeamua kuweka balance tu bila uhalisia?
Kwa hili nadhani TFF wajitafakari sana kuhusu tuzo zao.
Nawasilisha
Mbali na hayo, Hivi unaanzaje kuwataja viungo bora bila kumtaja Khalid Aucho? Au TFF mmeamua kuweka balance tu bila uhalisia?
Kwa hili nadhani TFF wajitafakari sana kuhusu tuzo zao.
Nawasilisha