John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Nimeshangaa sana kuona hao mabeki hawapo katika orodha ya mabeki bora katika msimu huu wa NBC PL 2022/2023, Pamoja na michango yao mikubwa sana katika timu zao.
Kwa hili nadhani TFF wajitafakari sana kuhusu tuzo zao.
Nawasilisha
[/QUOTE
Weka list wachezaji bora tuone
Ni sahihi, hii ya Robertinho hata mimi imenishangaza.Hilo ni tatizo, shida ya hizi tuzo ni kutaka ku balance usimba na uyanga
Nchi ina wajinga wengi na ndio wanashikilia ngazi za maamuzi. Timu haina dalili ya kutwaa taji lolote eti ndio inatoa mabeki bora. Hivi hao mabeki wanapimwa kwa vigezo gani?Nimeshangaa sana kuona hao mabeki hawapo katika orodha ya mabeki bora katika msimu huu wa NBC PL 2022/2023, Pamoja na michango yao mikubwa sana katika timu zao.
Mbali na hayo, Hivi unaanzaje kuwataja viungo bora bila kumtaja Khalid Aucho? Au TFF mmeamua kuweka balance tu bila uhalisia?
Kwa hili nadhani TFF wajitafakari sana kuhusu tuzo zao.
Nawasilisha
Anajiropokea tu hana data.Acha mahaba yako, Bacca na Djuma hawajafanya chochote cha wao kuwekwa kwa list, km Djuma ndo kabisaa kacheza match chache, huyo bacca nae si ni mwishoni huku ndo kawaka kidogo, lol.
KabisaaaaAnajiropokea tu hana data.