KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Very sad, Polisi wanakamata watu hapa jirani na TRA Tanzania kwa kigezo cha uzurulaji.
Hawa Polisi wanawakwida watu na kuwaingiza kwenye magari yao manne Toyota Land Cruiser yaliyopaki pembeni mwa barabara.
Hii sio sawa kabisa, hamna ajira bado watu mnawaita wazuraji. Wapeni watu KAZI, wapeni mishahara mizuri mtaona kama watu watakaa tena vijiweni.