KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Mimi siwaoni kama wazembe, Ila naiona serikali ndio wazembe kwa kushindwa kuwapa shughuli za kufanyaUzembe na uzurulaji
Haya Mambo ya kijinga kabisa!Very sad, Polisi wanakamata watu hapa jirani na TRA Tanzania kwa kigezo cha uzurulaji.
Hawa Polisi wanawakwida watu na kuwaingiza kwenye magari yao manne Toyota Land Cruiser yaliyopaki pembeni mwa barabara.
Hii sio sawa kabisa, hamna ajira bado watu mnawaita wazuraji. Wapeni watu KAZI, wapeni mishahara mizuri mtaona kama watu watakaa tena vijiweni.
Mambo haya ni matokeo ya serikali ya CCM kukosa ubunifuHaya Mambo ya kijinga kabisa!
Kwa maeneo gani specifically?Very sad, Polisi wanakamata watu hapa jirani na TRA Tanzania kwa kigezo cha uzurulaji.
Hawa Polisi wanawakwida watu na kuwaingiza kwenye magari yao manne Toyota Land Cruiser yaliyopaki pembeni mwa barabara.
Hii sio sawa kabisa, hamna ajira bado watu mnawaita wazuraji. Wapeni watu KAZI, wapeni mishahara mizuri mtaona kama watu watakaa tena vijiweni.
###### serekali iwachukuwe ikawape mashamba ya Kilimo, walime #####Mimi siwaoni kama wazembe, Ila naiona serikali ndio wazembe kwa kushindwa kuwapa shughuli za kufanya