Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Naona CHADEMA haikufanya sawa kumpongeza mh Rais Magufuli kwa kujenga Ikulu mpya.
Ni Jambo lililowazi binadamu akifikisha miaka 60 jua limeshakuchwa anajiandaa kukusanywa na ndugu zake yani kuaga Dunia. Sasa hapo vijana ndio wanakuwà warithi wa nyumba na mali za baba.
Kwa umri wa CCM ile Ikulu wamejengewa CHADEMA walipaswa kumshukuru Mh Rais.
Piga ua CCM haiwezi kukaa mule miaka 20 ijayo na kwa vyovyote kijana aliekomaa kuachiwa ile nyumba ya Chamwino ni CHADEMA.
Viva CHADEMA ila mlibugi kutokumpongeza JPM maana ile Ikulu ni yenu.