Mipango yenu ya kupita bila kupingwa tunaifahamuTataijadili hii October maana huyu mrithi atakuwa ameshakufa kifo cha aibu
Acha kuota, upinzani hauaminiki hata kidogo na watanzania. Mbowe mwenyewe ni jizi lililokubuhu na liuaji, so forget about nchi hii kuongozwa na upinzaniNaona chadema haikufanya fea kumpongeza mh rais magufuli kwa kujenga ikulu mpya.
Ni Jambo lililowazi binadamu akifikisha miaka 60 jua limeshakuchwa anajiandaa kukusanywa na ndugu zake yani kuaga dunia. Sasa hapo vijana ndio wanakuwà warithi wa nyumba na Mali za baba.
Kwa umri wa CCM ile ikulu wamejengewa chadema walipaswa kumshukuru mh rais.
Piga ua CCM haiwezi kukaa mule miaka 20 ijayo na kwavyovyote kijana aliekomaa kuachiwa ile nyumba ya chamwino ni chadema.
Viva chadema ila mlibugi kutokumpongeza JPM maana ile ikulu ni yenu.
Nothing lasts for ever unless unapingana na asili/ nature ambayo ina consequences zake.Acha kuota, upinzani hauaminiki hata kidogo na watanzania. Mbowe mwenyewe ni jizi lililokubuhu na liuaji, so forget about nchi hii kuongozwa na upinzani
Si ya lazima kwa Sasa na kuacha vipaumbele ambavo ni muhimu kwa Sasa,Naona chadema haikufanya fea kumpongeza mh rais magufuli kwa kujenga ikulu mpya.
Ni Jambo lililowazi binadamu akifikisha miaka 60 jua limeshakuchwa anajiandaa kukusanywa na ndugu zake yani kuaga dunia. Sasa hapo vijana ndio wanakuwà warithi wa nyumba na Mali za baba.
Kwa umri wa CCM ile ikulu wamejengewa chadema walipaswa kumshukuru mh rais.
Piga ua CCM haiwezi kukaa mule miaka 20 ijayo na kwavyovyote kijana aliekomaa kuachiwa ile nyumba ya chamwino ni chadema.
Viva chadema ila mlibugi kutokumpongeza JPM maana ile ikulu ni yenu.
Yeyeto anayo equal chance ya kuongoza panapo katiba na Hakuna chama chenye hatimilikiAcha kuota, upinzani hauaminiki hata kidogo na watanzania. Mbowe mwenyewe ni jizi lililokubuhu na liuaji, so forget about nchi hii kuongozwa na upinzani
Never ever, hakuna cha katiba wala nini, hata kama tungekuwa na hiyo katiba mnayoitaka upinzani hawawezi kupewa nchi na sisi wananchi, wapinzani ni wezi, hawana demokrasia, wanapenda wazungu warudi, ni wahuni hawana mfumo wa utawala bora ndani ya vyama vyao, hawana adabu maana wao kwa wao hawaheshimiani mpaka rais hawamuheshimu, wanavidharau vyombo vya ulinzi, waliunga mkono waasi wa kibiti wakitaka nchi ichafuke, kwa ufupi wapinzani hawana chao ktk hii nchi, wataendelea kupiga kelele tu, CCM. Ni baba lao!Yeyeto anayo equal chance ya kuongoza panapo katiba na Hakuna chama chenye hatimiliki
Kama ni hivo mbona mnatumia nguvu nyingi kupambana nao kuliko kupambana na umasikini nchini.Never ever, hakuna cha katiba wala nini, hata kama tungekuwa na hiyo katiba mnayoitaka upinzani hawawezi kupewa nchi na sisi wananchi, wapinzani ni wezi, hawana demokrasia, wanapenda wazungu warudi, ni wahuni hawana mfumo wa utawala bora ndani ya vyama vyao, hawana adabu maana wao kwa wao hawaheshimiani mpaka rais hawamuheshimu, wanavidharau vyombo vya ulinzi, waliunga mkono waasi wa kibiti wakitaka nchi ichafuke, kwa ufupi wapinzani hawana chao ktk hii nchi, wataendelea kupiga kelele tu, CCM. Ni baba lao!
Kwan kushirikiana na wazungu ni kosa mbona ndio wanaowalisha.Never ever, hakuna cha katiba wala nini, hata kama tungekuwa na hiyo katiba mnayoitaka upinzani hawawezi kupewa nchi na sisi wananchi, wapinzani ni wezi, hawana demokrasia, wanapenda wazungu warudi, ni wahuni hawana mfumo wa utawala bora ndani ya vyama vyao, hawana adabu maana wao kwa wao hawaheshimiani mpaka rais hawamuheshimu, wanavidharau vyombo vya ulinzi, waliunga mkono waasi wa kibiti wakitaka nchi ichafuke, kwa ufupi wapinzani hawana chao ktk hii nchi, wataendelea kupiga kelele tu, CCM. Ni baba lao!
Umeingia bafuni ukapiga punyeto ukadhani umekomaa...PUMBAVU!....Piga ua CCM haiwezi kukaa mule miaka 20 ijayo na kwavyovyote kijana aliekomaa kuachiwa ile nyumba ya chamwino ni chadema.
Anaweza akaishi miaka 20 au zaidiHesabu ndogo tu baba ukijenga nyumba katika umri wa miaka 60 unategemea utaishi miaka mingapi humo?