Naki 12
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 1,246
- 1,273
😋😋hizi parachichi nzuri nimezila sana nikiwa mama K. Za kwetu hadi ubahatishe mara upate ngumu upande mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😋😋hizi parachichi nzuri nimezila sana nikiwa mama K. Za kwetu hadi ubahatishe mara upate ngumu upande mmoja
Hapo kwenye embe kuna siku nilikuwa dar nikanunua embe dodo buku chachu hatari kama bongwa nikaenda kijijini nikanunua dodo hilo hilo mia 3 embe tamu kama asali dodo kubwa hatari na nina mpango ule muembe niufanyie grafting nipande mazao ya kudumuKama embe za Tabora. Wana embe nzuri sana lakini njaa njaa zao na tamaa huwa wanazivuna zikiwa changa halafu zikianza kuchoka na kulegea wanasema ndiyo kuiva. Ukiwauliza kwanini mmachuma changa, bila ya aibu wanajibu wanawahisha sokoni, wengine wanasema ndiyo zinachelewa kuiva...mazakanywa fanta zao
unakuta mtu hajasomea kilimo naye anazalisha miche pumbavu sanaYaani parachichi za Burundi kuubwaa, very soft na zina mafuta na ladha muruaa, hata wakiuza elf 5, watu watanunua!! Sasa haya ya kwetu, kwanza hazikomai, ndani majimaji na kambakamba tuupu!! SUA mna jambo la kufanya mtusaidie!!
Ukila koo lote linakereketaMapara chichi yao ni mazur yanaunga makubwa vizur
Wakulima waparachichi tz inabidi wabadilike mtu anatoa parachichi mtini bado kukomaa vizuri ukija kulila unapata ladha ya nyongo kwann tusifuate kilicho bora
Embe Bongwa sasa hivi zimeadimika, aisee ile embe ni chachu sijawah kuonaHapo kwenye embe kuna siku nilikuwa dar nikanunua embe dodo buku chachu hatari kama bongwa nikaenda kijijini nikanunua dodo hilo hilo mia 3 embe tamu kama asali dodo kubwa hatari na nina mpango ule muembe niufanyie grafting nipande mazao ya kudumu
Mimi niliyekulia kijijini najua huo mchezo hayo maembe huwa wanachuma mabÃchi halafu wanayapepea kwenye moto ukibonyeza yameiva ukila machachu hatari
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Embe zikiisha watu huyakimbilia bongwa na ngwangwaEmbe Bongwa sasa hivi zimeadimika, aisee ile embe ni chachu sijawah kuona
Wanachuma Parachichi kabla ata azijakomaa na kuzivundika - zinafika sokoni azijaiva ipasavyo na azina ladha, na zingine zina fungus. Ukila kama unakula makapi no tasteJanja janja ndio shida kubwa ya Mtanzania
Ata Mbolea awaweki kwenye hiyo miparachichi na pia wanazichuma bado zikiwa mbichi na kizivundika kama embeJanja janja ndio shida kubwa ya Mtanzania
Unanunua parachichi ndani jeusi minyuzi nyuzi kokwa kubwa kuliko nyama sometimes nyama ngumu,havina mafuta vimejaa maji.
Kimsingi bongo tunafeli sana kwenye ubora.
Za burudi ni makubwa,malaini matamu,mafuta mengi yana vutia,hata ungekua wewe mleta mada ungechagua yepi?
Chonde chonde Wataalamu wa utafiti wa Parachichi fanyeni hima mkajifunze Burundi au fanyieni utafiti Parachichi za huko ni Kwa nini zina Radha nzuri,laini na kutoa juice zaidi kuliko za Tanzania.
Vinginevyo Tunaenda kuua soko la Parachichi zetu kama msipofanya jambo.
=====
Mahitaji ya parachichi kutoka Burundi yanaongezeka licha ya bei yao kubwa kwani watumiaji wanapendelea parachichi hizo kuliko zile zinazozalishwa ndani kutokana na ukubwa, ladha, na laini yake.
Uchunguzi wa 'Daily News' katika maeneo ya Buguruni na Mabibo, vituo vikubwa vya jumla na rejareja vya kuuza parachichi, ulionyesha bei ya parachichi za kutoka Burundi ni mara tatu hadi nne zaidi ya bei za zile za ndani - kwa kawaida kutoka mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Iringa, Njombe na Mbeya.
Uchunguzi ulifunua kuwa bei ya parachichi za Burundi inatofautiana kati ya 1,500/- na 1,700/- ikilinganishwa na kati ya 300/- na 1,000/- za ndani.
Muuzaji wa parachichi kwa jumla na rejareja huko Buguruni, Bwana Mohamed Temi, alisema siku ya Jumapili kuwa licha ya kuwa msimu wa parachichi, mahitaji ya parachichi za Burundi bado yalikuwa juu na hivyo ndivyo bei yake.
“Watu wanapendelea parachichi hizi licha ya bei yao kubwa kutokana na ladha nzuri, muundo wake, na laini yake," Bwana Temi alisema, "pia, parachichi hizo zinautoa zaidi wa maji ukilinganisha na za ndani." Aliongeza kuwa bei zake za jumla na rejareja zinaenda vizuri kwani hana upungufu wa wateja.
Unazungumzia Maparachichi ya kuuziana mtaaniChonde chonde Wataalamu wa utafiti wa Parachichi fanyeni hima mkajifunze Burundi au fanyieni utafiti Parachichi za huko ni Kwa nini zina Radha nzuri,laini na kutoa juice zaidi kuliko za Tanzania.