Nimesikitishwa na Habari ya Watanzania Kupendelea Parachichi za Burundi Kuliko za Tanzania. Watafiti Wetu Mnafeli Wapi?

Chonde chonde Wataalamu wa utafiti wa Parachichi fanyeni hima mkajifunze Burundi au fanyieni utafiti Parachichi za huko ni Kwa nini zina Radha nzuri,laini na kutoa juice zaidi kuliko za Tanzania.

Vinginevyo Tunaenda kuua soko la Parachichi zetu kama msipofanya jambo.

=====
Mahitaji ya parachichi kutoka Burundi yanaongezeka licha ya bei yao kubwa kwani watumiaji wanapendelea parachichi hizo kuliko zile zinazozalishwa ndani kutokana na ukubwa, ladha, na laini yake.

Uchunguzi wa 'Daily News' katika maeneo ya Buguruni na Mabibo, vituo vikubwa vya jumla na rejareja vya kuuza parachichi, ulionyesha bei ya parachichi za kutoka Burundi ni mara tatu hadi nne zaidi ya bei za zile za ndani - kwa kawaida kutoka mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Iringa, Njombe na Mbeya.

Uchunguzi ulifunua kuwa bei ya parachichi za Burundi inatofautiana kati ya 1,500/- na 1,700/- ikilinganishwa na kati ya 300/- na 1,000/- za ndani.

Muuzaji wa parachichi kwa jumla na rejareja huko Buguruni, Bwana Mohamed Temi, alisema siku ya Jumapili kuwa licha ya kuwa msimu wa parachichi, mahitaji ya parachichi za Burundi bado yalikuwa juu na hivyo ndivyo bei yake.

“Watu wanapendelea parachichi hizi licha ya bei yao kubwa kutokana na ladha nzuri, muundo wake, na laini yake," Bwana Temi alisema, "pia, parachichi hizo zinautoa zaidi wa maji ukilinganisha na za ndani." Aliongeza kuwa bei zake za jumla na rejareja zinaenda vizuri kwani hana upungufu wa wateja.
Naweza kupata wapi miche ya hiyo miparachichi ya Burundi?
 
Ya kibongo hayajakomaa. Wanatungua yakiwa machanga mengine yakiwa bado hata miezi 3 mbele.
 
Awali ya yote nikupongeze kwa thread hii nzuri. Sisi tuna parachichi mbili kiuhalisia yaani Natives na exotic,natives au Asilia ni kama Uwezo,Tengeru,X ikulu nk na exotic ni kama Hass,fuerte,Nabal,Choquette nk.

Choquette ni jina la kifaransa ikiwa namaanisha zile parachichi kubwa maarufu kwa jina la Burundi (Napata shida kuupload picha). Sasa hitaji la kimataifa lina sifa zake yaani market forces hivyo Hass inakuwa most demanded kuliko zingine. Hii Choquette inafaa sana kwa soko la ndani ya Africa na warundi walizalisha sana Miaka ya nyuma ila wanahama kwenda katika zao la Hass baada ya serikali kugawa miche 8 kwa kila Kaya kwa kila Mrundi. Hii parachichi yao ni kubwa,nzito na inakuwa inavunwa ikiwa na Dm ya kufaa sokoni.

Kwa mahitaji ya miche na ushauri wa kilimo cha parachichi aina zote,njia ,zote nk,wasiliana nasi kwa.

0714600575 || 0620598113
Maumba strt,Boma rd
Morogoro
 
Parachichi la Burundi ni parachichi kweli kubwa kuliko la Tanzania ladha murua na likiiva lina unga flani hivi wakati wa kulila unavutia

Nikiwa Kabanga lazima nijizolee mabichi yalokomaa kwa ajili ya kula kwa muda na hata juice yake tamu
 
Tutumie jina la CHOQUETTE pliz
 
..parachichi zinazopendwa ktk nchi za ulaya na marekani ni zile ndogo zinazolimwa Tanzania.

..parachichi kubwa-kubwa kama za Burundi haziuziki ktk mataifa hayo.

..tunachotakiwa kufanya Watanzania ni kuhakikisha parachichi zetu zinakuwa ktk ubora wa kimataifa.

..pia tunaweza kulima parachichi za Burundi na kula majumbani kwetu, na parachichi za Kitanzania tukauza nje.
Nini sababu ya nchi za ulaya kutopenda parachichi kubwa na tamu kama za burundi?
 
Awali ya yote nikupongeze kwa thread hii nzuri. Sisi tuna parachichi mbili kiuhalisia yaani Natives na exotic,natives au Asilia ni kama Uwezo,Tengeru,X ikulu nk na exotic ni kama Hass,fuerte,Nabal,Choquette nk.

Choquette ni jina la kifaransa ikiwa namaanisha zile parachichi kubwa maarufu kwa jina la Burundi (Napata shida kuupload picha). Sasa hitaji la kimataifa lina sifa zake yaani market forces hivyo Hass inakuwa most demanded kuliko zingine. Hii Choquette inafaa sana kwa soko la ndani ya Africa na warundi walizalisha sana Miaka ya nyuma ila wanahama kwenda katika zao la Hass baada ya serikali kugawa miche 8 kwa kila Kaya kwa kila Mrundi. Hii parachichi yao ni kubwa,nzito na inakuwa inavunwa ikiwa na Dm ya kufaa sokoni.

Kwa mahitaji ya miche na ushauri wa kilimo cha parachichi aina zote,njia ,zote nk,wasiliana nasi kwa.

0714600575 || 0620598113
Maumba strt,Boma rd
Morogoro
Nahitaji mche wa parachichi ya burundi. Nitakuwa moro mwezi ujao nitakutafuta.
 
Nini sababu ya nchi za ulaya kutopenda parachichi kubwa na tamu kama za burundi?

..kwa kweli simfahamu.

..lakini kwenye maduka yao parachichi zinazofanana na zile za Burundi ni adimu, au zinaonekana kwa uchache.

..ukitembelea madukani parachichi zinazojaza ma-shelf ni hizi ndogo zenye ngozi rough.
 
Hata hivyo Burundi ni nchi masikini ya Mwisho Duniani kwenye list ya nchi masikini, ni vema wakaachiwa wajimwaye mwaye na hiyo competitive advantage. Tusiwakabe sana. Wanakiwanja kimoja cha Ndege na Generator ya k kizalisha umeme wa nchi nzima. Hawana Bwawa la umeme!!
 
Waafrika siku zote hupendelea ukubwa kuliko ubora
Kwa maoni ya watu wengi humu inasemekana hizo parachichi za burundi ni bora, kwa ukubwa na kwa utamu.
Zilipaswa ziwe na siko kubwa nje ya nchi..
 
Udongo wao na wetu Sio sawa wa parachichi zao ni kubwa kama kichwa Cha mtoto zetu viduchu.
Hata apple za south Africa ndio upendwa kuliko za bongo
 
Ya Tanzania wanavuna mabichi thus ni machungu ya Burundi ujutii Hela yako
 
Back
Top Bottom