Nimesikitishwa na kitendo cha John Mrema kutimuliwa CHADEMA, hakika usaliti ni Laana

Kitendo cha John Mrema kufukuzwa Chadema ni cha kusikitisha mno, hasa ikizingatiwa kwamba, Mtu huyu tumeshirikiana naye katika mengi ndani ya Chama, (ofisi ya Katibu Mkuu imethibitisha kupokea barua ya kutimuliwa kwake kutoka tawi la Bonyokwa), Hakika laana ya Usaliti inatisha.

John Mrema alikuwa kiongozi wa ngazi ya Juu ya Chadema, akihudumu kama Mkuu wa Itifaki, huyu alijua ajenda zote za Chama chake, ndiye aliyekuwa ripota wa mambo yote ya Chadema kwa Waandishi wa Habari, aliripoti aliyoshiriki kuyaamua, Kitendo cha yeye kupinga ajenda ya Chama chake, iliyotolewa akiwa Madarakani bila shaka yoyote ni Usaliti.

Lakini Je kwanini Mrema alisaliti msimamo wa chama chake wa Ajenda muhimu aliyoshiriki kuitengeneza, Je alinunuliwa? Swali hili ndilo analouliza kila mtu.

Je huyo aliyemnunua (kama ni kweli) alimfahamu vizuri Mrema?

John Mrema pamoja na kuhudumu kama kiongozi wa Juu wa Chadema hakuwahi kuwa na ushawishi wowote ule nje ya Madaraka aliyopewa, si mtu ambaye angeweza kushawishi yeyote kwenye majukwaa ya hadharani, hakuwahi kuwa na Ushawishi huo, hili hata yeye anajua, 2020 aliangushwa kwenye kura za maoni za kuwania Ubunge wa Jimbo la Segerea, busara ikatumika ili kumpitisha, kwa muda wote Mrema alisafiria nyota ya CHADEMA tu, Japo nakiri kwamba alifanya kazi vizuri sana, Kazi aliyofanya John Mrema haikuwa rahisi kuitoa dosari, Lakini alikosa karama ya ushawishi, Jambo ambalo kwa Mwanasiasa ni kosa kubwa. Si kazi rahisi kumnadi Mrema Jukwaani, Hauziki.

Ninamtakia kila la Heri huko aendako.
Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi wa chama FAM alimwambia(ga) Lema kwamba yeye ni mtu mdogo sana anaweza kufukuzwa uanachama na tawi lake huko Arusha 😂😂
 
Nimefurahishwa sana na kitendo cha kufukuzwa kwa Mrema, ni uamuzi mzuri sana tena sahihi.✌️✌️✌️
No Hate No Fear.
 
Chadema inaanza kupukutika, huwa mnasema mawazo hayapigwi rungu?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kitendo cha John Mrema kufukuzwa Chadema ni cha kusikitisha mno, hasa ikizingatiwa kwamba, Mtu huyu tumeshirikiana naye katika mengi ndani ya Chama, (ofisi ya Katibu Mkuu imethibitisha kupokea barua ya kutimuliwa kwake kutoka tawi la Bonyokwa), Hakika laana ya Usaliti inatisha.

John Mrema alikuwa kiongozi wa ngazi ya Juu ya Chadema, akihudumu kama Mkuu wa Itifaki, huyu alijua ajenda zote za Chama chake, ndiye aliyekuwa ripota wa mambo yote ya Chadema kwa Waandishi wa Habari, aliripoti aliyoshiriki kuyaamua, Kitendo cha yeye kupinga ajenda ya Chama chake, iliyotolewa akiwa Madarakani bila shaka yoyote ni Usaliti.

Lakini Je kwanini Mrema alisaliti msimamo wa chama chake wa Ajenda muhimu aliyoshiriki kuitengeneza, Je alinunuliwa? Swali hili ndilo analouliza kila mtu.

Je huyo aliyemnunua (kama ni kweli) alimfahamu vizuri Mrema?

John Mrema pamoja na kuhudumu kama kiongozi wa Juu wa Chadema hakuwahi kuwa na ushawishi wowote ule nje ya Madaraka aliyopewa, si mtu ambaye angeweza kushawishi yeyote kwenye majukwaa ya hadharani, hakuwahi kuwa na Ushawishi huo, hili hata yeye anajua, 2020 aliangushwa kwenye kura za maoni za kuwania Ubunge wa Jimbo la Segerea, busara ikatumika ili kumpitisha, kwa muda wote Mrema alisafiria nyota ya CHADEMA tu, Japo nakiri kwamba alifanya kazi vizuri sana, Kazi aliyofanya John Mrema haikuwa rahisi kuitoa dosari, Lakini alikosa karama ya ushawishi, Jambo ambalo kwa Mwanasiasa ni kosa kubwa. Si kazi rahisi kumnadi Mrema Jukwaani, Hauziki.

Ninamtakia kila la Heri huko aendako.
R.I.P chadema.
Lijamaa la majizivya nchi lissu linafanya kazi nzuri kupukutisha chama.. simkubali rais hata kidogo ola upinzani nao kama yeye tu.. ukipata fursa hakikisha unapiga vya kutosha kikubwa usikamatwe.
 
Sasa unalia au unalalamika?
 
Criticism kwa sasa ni mwiko ndani ya Chadema.

Atachoamua Lissu ni kama msahafu au bible, ni mwiko kukosoa.

Udikteta ndani ya Chadema hauwezi kuleta mwisho mzuri.

Swali ni je mtafukuza wangapi?

Hoja zijibiwe kwa hoja.
Hoja hujibiwa vikaoni siyo press conference.
 
Unatuletea upuuzi eti hauziki!Sasa nyie mliokuwa mnajaribu "kumuuza" tuwaiteje?
Wapuuzi,wajinga au wendawazimu?Mrema alikuwa kiongozi wako leo unadiriki kumponda?Sio ajabu kwani hata Mbowe uliyekuwa ukimuita mwamba leo unamponda!Wewe ni ndumilakuwili usiyekuwa na msimamo na hustahili hata kufunga kamba za viatu za Mrema.Mrema ameonyesha guts za kupigania anachokiamini sio sawa na wewe bendera kufuata upepo.
Acha upumbavu simulizi zinasema ukigeuka nyuma unageuka jiwe la chumvi.
 
Mmegeuka nyuma mara ngapi nyie wavimba macho?Lowassa mlimuita Fisadi mkamchagua kama mgombea Urais,Padri Slaa mlimuita mla mihogo leo mmelamba matapishi mmemrudisha.Simulizi my foot.Wewe bendera fuata upepo huna uwezo wa kujenga hoja.Just a Dundee United.
 
Back
Top Bottom