PreGE2025 Nimesikitishwa na kitendo cha Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kufunga comments Instagram kisa 'No reforms, No election'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wakuu

Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) linaloendeshwa kwa kodi zetu watanzania limethubutu kufunga comments kwenye mtandao wake wa Instagram eti kwa sababu tu wananchi wanaihubiri "NO REFORMS NO ELECTION" Kwa kutoa maoni kwenye taarifa wanazozipakia.
Screenshot_20250607_080726.jpg

Shirika linaloendeshwa kwa kodi zetu limegubikwa na uchawa, halitoi uhuru wa wananchi walipa kodi wanaoliendesha shirika kutoa maoni juu ya mienendo ya siasa nchini na madhaifu ya watawala.

TBC wapeni wananchi uhuru wa kutoa maoni kupitia kurasa zetu acheni uchawa, fungueni comments kwenye post zenu:AYAYAAA::AYAYAAA:
Screenshot_20250607_080854.jpg
 
Kuna uwezekano mkubwa Instagram ikafuata kufungiwa baada ya X. Sababu sijui watatunga ipi
 
Itakua ni upuuzi wa viwango vya juu sana... Watu wengi wanategemea hiyo mitandao kufanya biashara ili waweze kulipa kodi
 
hii ndio last chance ya kuitoa Sisiemu madarakani #No reforms No election.
 
Wakuu

Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) linaloendeshwa kwa kodi zetu watanzania limethubutu kufunga comments kwenye mtandao wake wa Instagram eti kwa sababu tu wananchi wanaihubiri "NO REFORMS NO ELECTION" Kwa kutoa maoni kwenye taarifa wanazozipakia.
View attachment 3358776

Shirika linaloendeshwa kwa kodi zetu limegubikwa na uchawa, halitoi uhuru wa wananchi walipa kodi wanaoliendesha shirika kutoa maoni juu ya mienendo ya siasa nchini na madhaifu ya watawala.

TBC wapeni wananchi uhuru wa kutoa maoni kupitia kurasa zetu acheni uchawa, fungueni comments kwenye post zenu:AYAYAAA::AYAYAAA:
View attachment 3358777
Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi wamejipata. Kuna Jeshi la Mashambulizi limezaliwa Jana Tanzania linaitwa Tanzanians on Instagram (IG). Watu hawa wameanza kazi jana tu ila Pages zote za Serikali na machawa zilifunga comment sections. Mashambulizi yao nyuki wanasubiri😄
 
People waendelee kuamka
 
Back
Top Bottom