The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Instagram imeitika haswa mpaka wanafunga commentsTanzanians on Instagram wametisha sana.
Hao walimu ndio watatuangusha 😂😂😂OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE PANGA MSTARI KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
NO REFORM NO ELECTION
Lazima wawajibike, kupost kwenyewe wanatumia kodi zetuSasa hivi tangazo liwe Moja nchi nzima atakayefunga sehemu ya comments anaachiwa account yake ili abaki anajipostia yeye mwenyew
Itakua ni upuuzi wa viwango vya juu sana... Watu wengi wanategemea hiyo mitandao kufanya biashara ili waweze kulipa kodiKuna uwezekano mkubwa Instagram ikafuata kufungiwa baada ya X. Sababu sijui watatunga ipi
JF tunayo na tunatamba nayoKuna uwezekano mkubwa Instagram ikafuata kufungiwa baada ya X. Sababu sijui watatunga ipi
Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi wamejipata. Kuna Jeshi la Mashambulizi limezaliwa Jana Tanzania linaitwa Tanzanians on Instagram (IG). Watu hawa wameanza kazi jana tu ila Pages zote za Serikali na machawa zilifunga comment sections. Mashambulizi yao nyuki wanasubiri😄Wakuu
Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) linaloendeshwa kwa kodi zetu watanzania limethubutu kufunga comments kwenye mtandao wake wa Instagram eti kwa sababu tu wananchi wanaihubiri "NO REFORMS NO ELECTION" Kwa kutoa maoni kwenye taarifa wanazozipakia.
View attachment 3358776
Shirika linaloendeshwa kwa kodi zetu limegubikwa na uchawa, halitoi uhuru wa wananchi walipa kodi wanaoliendesha shirika kutoa maoni juu ya mienendo ya siasa nchini na madhaifu ya watawala.
TBC wapeni wananchi uhuru wa kutoa maoni kupitia kurasa zetu acheni uchawa, fungueni comments kwenye post zenu
View attachment 3358777
People waendelee kuamkaBaada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi wamejipata. Kuna Jeshi la Mashambulizi limezaliwa Jana Tanzania linaitwa Tanzanians on Instagram (IG). Watu hawa wameanza kazi jana tu ila Pages zote za Serikali na machawa zilifunga comment sections. Mashambulizi yao nyuki wanasubiri😄