Nimesikitishwa na kitendo cha Toyota kuniona mimi kama adui yao, Nimekumbuka mambo haya

Daah kweliiii hivii vitoyotaa tabu tupuu
 
Ukute upo sebuleni kwa shemeji yako hapo maramba mawili , mkono mmoja
Umeshika glass ya juisi na mwingine umeshika rimoti ya startimes .. Unainjoi maisha baada ya kazi nzuri za dada yako chumbani kwa sehemeji yako.
Duuuh... [emoji849][emoji28]
 

Mtu kama wewe hafai katika jamii.
1:Una majigambo wakati huna lolote kati ya unayosema
2: Unawadharau watu wenginena kuona kuwa wao hawana hadhi ya kuwa na vitu ulivyo navyo
3:Unaubinafsi ambao si wa kibinadamu kabisa. Kama unapesa peleka kwenye vituo vya yatima, wajane wagonjwa na wazee
 
Hamorapa vipi lile shamba la urithi lenye korosho mteja ameshapatikana au bado
 
umaskini mbaya...watu hawataki kuamani kama una hela ivo...mfano mimi apa mtoto wangu nimempa adhabu ya kupiga danadana mayai 200 yaliyochemshwa kwa kwa kosa la kunywa maziwa robo kikombe....na akishindwa iyo adhabu nimepanga kumuhamisha kutoka shule anayosoma sasa ya international school of Tanganyika na kumpeleka shule ya kimasikini zaidi ya feza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…