Nimesikitishwa na kitendo cha Toyota kuniona mimi kama adui yao, Nimekumbuka mambo haya

Nimesoma thread hadi nusu nikahisi huyu ni kiduku lilo.... nikarudi juu kucheki nani kapost kweli nakuta ni huyu FUNZA... hopeless kabisa.
 

Hahahaha Mkuu imefika wakati sasa kila nikisoma bandiko lako najua tu ni wewe bila hata ya kuangalia jina tena. You are very talented.... a really entertainer. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukute upo sebuleni kwa shemeji yako hapo maramba mawili , mkono mmoja
Umeshika glass ya juisi na mwingine umeshika rimoti ya startimes .. Unainjoi maisha baada ya kazi nzuri za dada yako chumbani kwa sehemeji yako.
ahaha dah!! We jamaaaa
 
Kiduku lilo on the move
 
Hivi jamiiforums hakuna jukwaa la Afya?? Madaktari tumuokoe ndugu yetu tutampoteza
 
Una kazi kweli wewe? Huu muda wa kuandika kila siku unautolea wapi?
Toyota binafsi, hakujui wewe wala wateja wake, anatoa huduma tu, aitakaye au asiyeitaka ni juu yake, ila pesa anazo kiasi kwamba hapigi mayowe kama wewe ila watu tunajionea wenyewe.
 
Hapa anawindwa demu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mie nlivyofka kati tu nkastuka fasta nkaenda kuangalia mleta thread nkacheka kama fala [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]amka bana usije kususu kitandani. Halafu nyie maskini hata mlishindwa ku afford alarm system uwe na remote usingepata shida.
Smart hata mm nimeliona hilo
 
Dah!!..huyu jamaa yaweza kuwa hapo alipo hajala chakula ana njaa tu.

Ila huwa unanifurahisha sana mkuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…