Nimesikitishwa na kitendo cha Toyota kuniona mimi kama adui yao, Nimekumbuka mambo haya

Kwamba ulimpigia boss mmoja wa tra awaagize vijana waangalie ni toyota gani unayokaa nayo kwako wakujulishe namba zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

We mshenzi kama ni kweli unazo hela hizi,basi ni wewe na bashite tu mnaishi maisha haya[emoji23][emoji23]
 
Ahaaa kanifurahisha sana hapo
 
Kiduku sifa zote hizo kumbe unaongea habari za mshahara bado?

Watu wakafikiri umeweka patent ya kuvuta hewa, kila anayepumua anakukatia asilimia fulani ya kodi, kwa tege lako unavyotuzingua hapa.

Halafu hayo magari yako mengine unayosema kwingine huku tunafanya taxi na magari ya polisi.

Siku ukinunua Bentley rudi hapa utambe.
 
Juzi nilikuwa kwenye kijiwe fulani nakunywa kahawa na bwana shetani,akaniambia, anataka kuitwaa roho ya kiduku lilo wiki ijayo
 
"Sisi wenye pesa, don't live once; we only die once" Ila tunaishi mara nyingi sana na sehemu tofauti tofauti. Anayeishi once ni yule anayepata pesa kwa msimu. Maskini anaishi mara moja na kufa several times.
Katika ubora wako mzee baba!!
 

Does the following proverb (which was first published in the 17th century) sound familiar to you?

“If wishes were horses, beggars would ride”.
 
Mkuu Kiduku Lilo,kongole sana. Kwa muono wangu,una kipaji kikubwa sana cha utunzi,mpangilio wa uandishi pamoja na usimuliaji.
Tafadhali chukua hatua ili talanta yako itumike kukuletea maendeleo.
Mungu amekubariki,nawe mrudishie sifa na shukurani yeye kwa kukifanyia kazi kipaji chako.
 
Ha ha ha ha ha[emoji91][emoji91][emoji91]
Ukute upo sebuleni kwa shemeji yako hapo maramba mawili , mkono mmoja
Umeshika glass ya juisi na mwingine umeshika rimoti ya startimes .. Unainjoi maisha baada ya kazi nzuri za dada yako chumbani kwa sehemeji yako.
 
unajua hata Mungu hapendi Masikini , maana kila mara wanaleta lawama tu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…