Nimesikitishwa na kitendo cha Toyota kuniona mimi kama adui yao, Nimekumbuka mambo haya

Kama unapesa changia JF uww hata Platnum member..

Kuliko kujifanya matawi wakati nimekuomba kazi hata ya kufagia mkokoteni wako umekataa...[emoji114][emoji109]

[emoji3][emoji3][emoji3] kwa hiyo Platnum Member kumbe wako vizuri humu! Imebidi nicheke tu aisee! Na kama kakunyima hata kazi ya kufagia basi atakuwa amekubore sana na kujimwambafy kwake hapa [emoji3][emoji3][emoji3]

Eti “Maskini they live once and die several times” Kiduku Lilo Mungu anakuona [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiduku whatttt? (kwa sauti ya teacher Mpamile)
 
Eti maskini wanaishi mara moja na kufa mara nyingi hahahahhahhahahahhhahha
 
Huyu mpumbavu ( in magu voice) hivi huko mtaani kwao sijui kama wanabaki salama. Watakuwa washapigwa kamba nyingi sana na huyu jamaa.

Bravo kidukulilo.
 
Mzee wa kujimwambifai tumekuelewa
 
Acha utoto, huna kazi za kufanya kujaza miandishi yote iliyojaa UTOTO
Kichaa kinamyemelea ana dalili zote Ukichaa stage One za ugonjwa na kichaa ambayo sifa kuu ni Kuwa Na halucinations nyingi Kichwani
 
Kumbe erick erick shigongo nae yupo JF ...kastori kazuri sana
 
Tumeshakujua
 
Crown cc 4000 wewe jamaa hujawahi kumiliki hata baskeli!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…