Nimesikitishwa na kitendo cha Toyota kuniona mimi kama adui yao, Nimekumbuka mambo haya

'Nyie Wenye hizo kitu inabidi muweke alama ' ha ha ha kidukuuuu! Ila ni kweli aisee haya magari ya Toyota yamekuwa kama yeboyebo kila mtu anayo (vitz, ist, verosa, premio, Camry, athlette, nk) lakini tazama kwenye mafoleni Range Rover ni za kuhesabu.
 
We jamaa popoma sana,unapata wp muda kuandika mada ndeefu alafu unaongea ungese tu.
kima kweli wewe tafuta kazi
 
Mhaya wewe usilazimishe watu wale kama wewe alafu utakuta umeandika hivyo kumbe UMESHINDIA MIHOGO NA KACHUMBARI ZA MAGENGENI AU CHIPS VUMBI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ww sio muhaya nipigwe ban kwanzia leo,kumbe bado hamjabadilika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Seiko 5 miaka ya 80 huko Saudia zilikuwa zinauzwa kwa Kilo
Leo ndio unazivaa
Ungesema Breitling labda kidogo ningekukubali hahaaha

Alafu kasema saiko sasa hii SAIKO sijui ni brand yake peke ake....


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
🤣🤣🤣🤣🤣 ila kaukweli kapo, kuna wakati unatafuta kwelikweli kausafiri kako kwenye kusanyiko🤣🤣🤣
 

Kuwa na pesa nyingi, halafu bado ukaendelea kujisifu, unakuwa ni mtu mwenye mawazo dhaifu zaidi kuliko maskini ambaye yuko huru na hali ya ufukara wake alionao. Huhitaji kujisifu ukiwa na pesa pamoja na akili timamu, kwa sababu una pesa, watu wataziona na kukusifu bila wewe mwenyewe kuwahamasisha.Hela unayo kampeni tena ya nini? Wakati fulani nikiwa mdogo huko kwetu kijijini kulukuwa na chizi mmoja alikuwa anapenda kutumia usemi wa kislugha unasema "Masala michuku", akimaanisha "mind is slippery", kiswahili chake kigumu ila "masala", maana yake ni akili
 
hivi posts za Kiduku huwa mnachukulia serious kabisaa?😀😀
 
hivi posts za Kiduku huwa mnachukulia serious kabisaa?😀😀
Siku nyingi, kipindi kirefu nyuma, niliwahi kumchapa mtoto mdogo kwa sababu niligundua kuwa hana akili. Ilikuwa kila siku nikimuona, ninabadilisha njia na kupita mbali sana, kumuonyesha kuwa nilikuwa ninamwogopa sana. Kwa hiyo huyu mtoto yeye akawa ana mentality kichwani kuwa ni kweli ninamuogopa, na anaweza kunipiga. Kwa hiyo mtindo wetu siku zote ulikuwa hivyo kila nikimuona, hadi ilipofikia siku nikaamua kumbadilikia na kumcharaza viboko. Wewe nawe hapa unatuharibia mada, tutakuchapa viboko. Hapa sasa umeshavuruga kila kitu, siwezi tena kupata response kutoka kwa mhusika!
 
🤣🤣🤣 daah mfano mzuri sana ila nimeshindwa kuuconnect na suala la hili la jamaa na uadui na Toyota, au mimi kuingilia swali lako ulilomuuliza Kiduku mwenye uadui na Toyota🤣🤣🤣

Ila kwa harakaharaka nimegundua unatumia nguvu ya akili nyingi na kuweka umakini mkubwa kwenye masuala ya mzaha.
 
Ukiwa kwa mfano wewe ni leaner unaendesha gari barabarani, hata popo akikatiza mbele yako unamuona. achilia mbali magari yenyewe, yaani unakuwa unaona kila kitu barabani, kwa maana ya kwamba you notice almost everything! Hata hivyo, ukishakuwa experienced driver, you hardly notice the presence of cars in a speeding queue of several cars in a road. Hii inaonyesha kuwa novice huwa ana-calculate sana na kwa kutumia akili nyingi sana, tofauti na expert. An expert never calculates! Possibly ulitakiwa unipe credits za kwamba katika swala hili mimi ninasimama upande wa expert, au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…