Nimesikitishwa na kitendo cha Toyota kuniona mimi kama adui yao, Nimekumbuka mambo haya

'Nyie Wenye hizo kitu inabidi muweke alama ' ha ha ha kidukuuuu! Ila ni kweli aisee haya magari ya Toyota yamekuwa kama yeboyebo kila mtu anayo (vitz, ist, verosa, premio, Camry, athlette, nk) lakini tazama kwenye mafoleni Range Rover ni za kuhesabu.
 
We jamaa popoma sana,unapata wp muda kuandika mada ndeefu alafu unaongea ungese tu.
kima kweli wewe tafuta kazi
 
Labda tu niseme kuwa kiuhalisia sipendi uadui na binadamu. Adui yangu siku zote ni umasikini. Huu ndiyo nauchukia sana pamoja na shetani.

Mimi nimewahi miliki kwa muda mfupi sana kama miezi miwili usafiri wa Toyota. At least ile ilikuwa ni gari ya Toyota maana hata CC zake si haba 4700 CC Toyota Crown/ Royal kama sikosei, maana sikuwa interested nayo sana.

Mdogo wangu alinunua UK mpya kabisa akaiendesha kidogo akaona haimpendezi akanambia bro kuna gari nakutumia.basi ikaja.nami nilijaribu nikaja pata shida siku nmeenda nayo Mlimani City. Nmetoka hivi pale nlipopark zipo nyingine Tatu. Rangi ile ile nami nmesahau namba ya gari yangu.

Nliwaza sana.nikasema hapa unaweza kuta unataka fungua mlango wa gari ya mtu ukaitwa mwizi. Haraka nikampigia Boss mmoja wa TRA ni jamaa yangu.nikamwambia awaambie vijana wake waangalie gari zote ninazomiliki wakiona ya Toyota wanipe namba zake.ndo kunitumia baada ya dk chache. Nlilaani sana.kuwa hizi Toyota kila mtu anazo?heshima itatoka wapi mjini? Tena unakuta wengine wamemaliza tu chuo juzi leo nao wana Toyota Crown.

Nikauza kwa jamaa mmoja bei chee kabisa.mpaka leo yule jamaa hunipigia simu kunishukuru.anasema ile ni gari ya Toyota.

So si kwamba sijawahi miliki Toyota.nimewahi na wala sina ugomvi na hivi vyombo au brand.basi tu ni mazoea ndugu zanguni.sisi ambao tumekulia ulaya na marekani gari za Toyota huwa si vipaumbele sana maana wao hawajali sana kwenye safety ya Mwendesha gari.basi tu ndo maana hata mdogo wangu ilimshinda.

Vijana tuishi kwa kanuni.bila kanuni inasabisha watu.kanuni zinakufanya uishi kwa malengo.kwa mfano mimi binafsi huwa siwezi kuvaa kiatu chini ya 500,000. Hunivalishi hata kama utasema nivae halafu unilipe.

Sipendi kuvaa kiatu nikakuta kuna mtu kavaa kama hicho. Au hii saa moja ya saa ninazo penda ni Rolex na Saiko 5. Hizi saa wenye kuzifahamu ni wachache.siku moja jamaa mmoja aliniuliza akiwa na girlfriend wake nikamwambia tu ni Tsh 50,000 ili asione kama najigamba badala ya kumwambia nlinunua 1,750,00 nikamwambia tu 50,000. Akaomba namba. Kweli akanipigia nikamwambia aingie kwenye mtandano sehemu fulani kuangalia na exchange rate ya Dola akakuta ni Tsh 1,820,000. Akanipigia nikamwambia ndo ilivyo. Hakuwahi nitafuta tena.

Haya mambo ni mipango na kanuni.mimi siku nmemnunulia dada mmoja perfume.actually nlinunua Paris France. Amekaa nayo mwaka ile perfume akanambia anataka tena.nikampa jina aangalie aagize.yule dada alikuja kwangu akanikumbatia...anasema hakuwah dhania anajipulizia perfume ya Tsh 540,000.

Binafsi perfume ambayo napulizia napoenda Gym ndo bei ya chini sana tsh 500,000. Hiyo ndo napoenda gym au napofanya jogging.

Sasa hiyo tabia ninayo hata kwenye magari.unajua katika maisha lazima kuwe na class.na inabidi upambane uwe class flani. Kama hujipambanii hilo we umeamua kuwa mwananchi mnyonge. Binafsi nachukia unyonge.ingawa watanzania mnapenda kuwa na kuitwa wanyonge.

Hata matumizi ya vitu.huwa mara nyingi napenda kununua vitu vya matumizi ya nyumbani supermarket. Napendelea kuhama hama maana kuna kipindi ilikuwa kila mwisho wa mwezi naenda sehemu flani mpaka wakanizoea wale wadada nikaona isiwe shida.nikahama.nmekaa muda bila kwenda pale. Kuja kwenda tena nikakuta wamefunga - wamefilisika.

Nliumia sana.maana nliona kutokwenda kwangu ile supermarket kumewasababishia hasara sana hadi wamefilisika.nikawaza hao akina dada si wanaweza shawishika kujiuza?maskini hata sijui watakuwa wameenda wapi.mpaka leo roho inaniuma naona kama nlihusika kufanya ile supermarket ifilisike.

Hili suala la magari leo nimeenda mlimani city.nikawa natafuta parking.kiukweli huwa nakwepa sana kupark gari yangu pembeni ya Toyota.naona kama nawanyanyapaa wenye Toyota.wanaweza sema nawafanyia kusudi kuwaonesha gari yangu.

Basi nmezunguka mwanzo mwisho kuna gari 3 tu. Nyingine ni Usafiri wa Toyota na Nissan. Nikakuta kuna jamaa naye kapark Ford.nikasema at least hapa sasa tunaweza park magari.

Ila nmeshangaa.zile Vitz zilizojaa pale,altezza,brevis na subaru. Huwezi jikuta kweli unakazana kufungua mlango kumbe inafungua gari ya mwingine?kama ilivyowahi nikuta?

Nyie wenye hizo kitu inabidi muweke alama.ndo nikakumbuka ndo maana wengine wanaweka rims ,sticker au matairi ya ajabu ajabu.huwezi kuta hivyo vitu kwnye Range Rover,Bmw,Benz,Vw,Porche,Ford,GMC au gari aina hizo.

Mi nahisi hizi kitu nyingine mnaweza ibiana hasa kama mtu umesahau namba ya gari yako unaweza changanyikiwa.

Huto tuusafiri tupo twingi rangi zinafanana sana. Almost kila kitu.hasa hizi IST ,Altezza,Crown na Xtrail.ni shida.

Basi nikawa nmenunua mahitaji yangu vijana watatu wakawa wanasukuma matoroli kuleta bidhaa zangu garini.nmewashukuru kwa kujituma kwao nikawapa 150,000 wagawane.hatuna pesa lakini tutafanyaje ndugu zanguni?tugawane kidogo. Kama mtu unafanya shopping ya vyakula na vinywaji 965,000. Kwa nini usiwape wenzio kidogo nao wanywe maji?

Nikasema ngoja nifanye research ndogo njiani. Jaribu na wew, katika kila usafiri 10 njiani 2 usafiri wa Toyota IST. Halafu Altezza, Subaru, Brevis, Vitz, Crown, Noah n.k

Anza kuhesabu magari.utaona mahari machache sana. Kwa Toyota nao wana gari Land Cruiser V8.

Kuwa na Usafiri wa Toyota/Nissan sijui Subaru ni changamoto.mnaweza badilishana gari bila kujua.unafika home ndo unagundua kumbe ulichukua gari ya mwingine.nahisi hata funguo zinaingiliana.

Nimeamua tu kushare nanyi experience msije nanyi mkaanza nichukia.Haya mambo yapo ni ya kawaida tu, la msingi tutafuteni pesa. Mimi mnaniona nahangaika nchi mbalimbali napanda ndege mpaka nafahamika. Si sababu napenda sana, ni mapambano. Kamshahara kadogo sijafika milion 100 bado lakini hata hutu tu allowances nikikusanya kwa safari nikajibana nikienda nchi za watu sometime nalala hotel za hadhi ya chini nyota 4 badala ya 5. Ili nipate pesa ninunue gari za milion 100+ mia 200 n.k

Niishi na uhakika wa kutembea na 500,000 ipo tu kwenye gari kwa ajili ya dharura. Haya maisha we die once ila tunaishi mara nyingi.

"Sisi wenye pesa, don't live once; we only die once" Ila tunaishi mara nyingi sana na sehemu tofauti tofauti. Anayeishi once ni yule anayepata pesa kwa msimu. Maskini anaishi mara moja na kufa several times.
Mhaya wewe usilazimishe watu wale kama wewe alafu utakuta umeandika hivyo kumbe UMESHINDIA MIHOGO NA KACHUMBARI ZA MAGENGENI AU CHIPS VUMBI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ww sio muhaya nipigwe ban kwanzia leo,kumbe bado hamjabadilika

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Seiko 5 miaka ya 80 huko Saudia zilikuwa zinauzwa kwa Kilo
Leo ndio unazivaa
Ungesema Breitling labda kidogo ningekukubali hahaaha

Alafu kasema saiko sasa hii SAIKO sijui ni brand yake peke ake....

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
🤣🤣🤣🤣🤣 ila kaukweli kapo, kuna wakati unatafuta kwelikweli kausafiri kako kwenye kusanyiko🤣🤣🤣
 
Kuwa na pesa nyingi, halafu bado ukaendelea kujisifu, unakuwa ni mtu mwenye mawazo dhaifu zaidi kuliko maskini ambaye yuko huru na hali ya ufukara wake alionao. Huhitaji kujisifu ukiwa na pesa pamoja na akili timamu, kwa sababu una pesa, watu wataziona na kukusifu bila wewe mwenyewe kuwahamasisha.Hela unayo kampeni tena ya nini? Wakati fulani nikiwa mdogo huko kwetu kijijini kulukuwa na chizi mmoja alikuwa anapenda kutumia usemi wa kislugha unasema "Masala michuku", akimaanisha "mind is slippery", kiswahili chake kigumu ila "masala", maana yake ni akili
 
hivi posts za Kiduku huwa mnachukulia serious kabisaa?😀😀

Siku nyingi, kipindi kirefu nyuma, niliwahi kumchapa mtoto mdogo kwa sababu niligundua kuwa hana akili. Ilikuwa kila siku nikimuona, ninabadilisha njia na kupita mbali sana, kumuonyesha kuwa nilikuwa ninamwogopa sana. Kwa hiyo huyu mtoto yeye akawa ana mentality kichwani kuwa ni kweli ninamuogopa, na anaweza kunipiga. Kwa hiyo mtindo wetu siku zote ulikuwa hivyo kila nikimuona, hadi ilipofikia siku nikaamua kumbadilikia na kumcharaza viboko. Wewe nawe hapa unatuharibia mada, tutakuchapa viboko. Hapa sasa umeshavuruga kila kitu, siwezi tena kupata response kutoka kwa mhusika!
 
🤣🤣🤣 daah mfano mzuri sana ila nimeshindwa kuuconnect na suala la hili la jamaa na uadui na Toyota, au mimi kuingilia swali lako ulilomuuliza Kiduku mwenye uadui na Toyota🤣🤣🤣

Ila kwa harakaharaka nimegundua unatumia nguvu ya akili nyingi na kuweka umakini mkubwa kwenye masuala ya mzaha.
 
Ukiwa kwa mfano wewe ni leaner unaendesha gari barabarani, hata popo akikatiza mbele yako unamuona. achilia mbali magari yenyewe, yaani unakuwa unaona kila kitu barabani, kwa maana ya kwamba you notice almost everything! Hata hivyo, ukishakuwa experienced driver, you hardly notice the presence of cars in a speeding queue of several cars in a road. Hii inaonyesha kuwa novice huwa ana-calculate sana na kwa kutumia akili nyingi sana, tofauti na expert. An expert never calculates! Possibly ulitakiwa unipe credits za kwamba katika swala hili mimi ninasimama upande wa expert, au?
 
Back
Top Bottom