Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Huu mfano actually ulikuhusu wewe, kwamba ulitakiwa ujue kuwa na mimi nimejua kuwa thread ya jamaa ni kwa ajili ya fantasy tu, na si vinginevyo. Wewe kutokuliona hilo nilikufananisha na yule mtoto ambaye alikuwa ameshindwa kujua kuwa nina uwezo wa kumchapa,ila huwa nafanya fantasy kutokufanya hivyo, na mpaka siku nilipoamua kumpiga ndiyo akajua kuwa ninaweza kumpiga!🤣🤣🤣 daah mfano mzuri sana ila nimeshindwa kuuconnect na suala la hili la jamaa na uadui na Toyota, au mimi kuingilia swali lako ulilomuuliza Kiduku mwenye uadui na Toyota🤣🤣🤣
Ila kwa harakaharaka nimegundua unatumia nguvu ya akili nyingi na kuweka umakini mkubwa kwenye masuala ya mzaha.