Nimesikitishwa na kitendo cha Toyota kuniona mimi kama adui yao, Nimekumbuka mambo haya

Nimesikitishwa na kitendo cha Toyota kuniona mimi kama adui yao, Nimekumbuka mambo haya

🤣🤣🤣 daah mfano mzuri sana ila nimeshindwa kuuconnect na suala la hili la jamaa na uadui na Toyota, au mimi kuingilia swali lako ulilomuuliza Kiduku mwenye uadui na Toyota🤣🤣🤣

Ila kwa harakaharaka nimegundua unatumia nguvu ya akili nyingi na kuweka umakini mkubwa kwenye masuala ya mzaha.
Huu mfano actually ulikuhusu wewe, kwamba ulitakiwa ujue kuwa na mimi nimejua kuwa thread ya jamaa ni kwa ajili ya fantasy tu, na si vinginevyo. Wewe kutokuliona hilo nilikufananisha na yule mtoto ambaye alikuwa ameshindwa kujua kuwa nina uwezo wa kumchapa,ila huwa nafanya fantasy kutokufanya hivyo, na mpaka siku nilipoamua kumpiga ndiyo akajua kuwa ninaweza kumpiga!
 
Anhaaaa sawa!😊
 
Mtu kama wewe hafai katika jamii.
1:Una majigambo wakati huna lolote kati ya unayosema
2: Unawadharau watu wenginena kuona kuwa wao hawana hadhi ya kuwa na vitu ulivyo navyo
3:Unaubinafsi ambao si wa kibinadamu kabisa. Kama unapesa peleka kwenye vituo vya yatima, wajane wagonjwa na wazee
Ni motivation ...pia burudani..usichulie siriaz hizi mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Kiduku sifa zote hizo kumbe unaongea habari za mshahara bado?

Watu wakafikiri umeweka patent ya kuvuta hewa, kila anayepumua anakukatia asilimia fulani ya kodi, kwa tege lako unavyotuzingua hapa.

Halafu hayo magari yako mengine unayosema kwingine huku tunafanya taxi na magari ya polisi.

Siku ukinunua Bentley rudi hapa utambe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom