W wamtini Member Joined Jun 24, 2014 Posts 49 Reaction score 17 Jul 5, 2014 #21 kwenye sayansi majanga ada kubwa,kazini load kubwa ukilinganisha na walim wa arts.Lakini mshahara sawa lol!
kwenye sayansi majanga ada kubwa,kazini load kubwa ukilinganisha na walim wa arts.Lakini mshahara sawa lol!
akuhmm JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 583 Reaction score 225 Jul 5, 2014 #22 ni sawa tu hata wakipandisha zaidi. wanasimea kodi zetu halafu hawaendi kufanya kazi husika. tena hata wakitoa ruzuku yote isiwepo its okay
ni sawa tu hata wakipandisha zaidi. wanasimea kodi zetu halafu hawaendi kufanya kazi husika. tena hata wakitoa ruzuku yote isiwepo its okay