Nimesikitishwa sana baada ya kuona kwenye CCTV vitendo alivyofanya shemeji yangu.

Mimi naamini Mwanamke akiamua kutoka nje ya Ndoa lazima kutakuwa na sababu, nyumbani hakuko shwari. Kaa vizuri na huyo rafiki muulize kulikoni nyumbani kwao. Na huyu shemeji yako ni kumkanya tu, anavyofanya ndivyo sivyo.
 
Rizt mkuu kwenye lift ni muda mchache sana mtu anakaa, sasa hiyo shemeji yetu hana aibu kiasi hicho?!!!!!

Mzee wa Rula.
Lile jengo kuanzia saa 12 linakuwa halina watu jengo zima ni la benki wanakuwa wanapanda wanashuka wakichoka wanashuka wanaondoka.
 
Last edited by a moderator:
ritz
Dah!! ana sababu za msingi kutokuona hizo picha......inahitaji ujasiri
 
Last edited by a moderator:

Mkuu mbona unakuwa mkali samahani kama nimekugusa.
 
Afadhali umesema ww. Na mwenye mke nae kagoma kuangalia cctv, anajua mwenyewe mambo yao! Kuna wanaume wanatuma wake zao, utaenda kumuambia ushushuliwe!
Mimi naamini Mwanamke akiamua kutoka nje ya Ndoa lazima kutakuwa na sababu, nyumbani hakuko shwari. Kaa vizuri na huyo rafiki muulize kulikoni nyumbani kwao. Na huyu shemeji yako ni kumkanya tu, anavyofanya ndivyo sivyo.
 
Afadhali umesema ww. Na mwenye mke nae kagoma kuangalia cctv, anajua mwenyewe mambo yao! Kuna wanaume wanatuma wake zao, utaenda kumuambia ushushuliwe!

King'ast kuna wanawake wengine wa pepo ya ngono.
 
Last edited by a moderator:

Hii story ni ya kutengeneza! Kwenye lift hakuna camera za Closed Circuit Televison(CCTV)! Hizo Camera za CCTV zinaongelewa kama kitu cha ajabu vile, mbona huwa zinaonekana tu! Mara nyingi ziko kwenye lift lobbies(mbele ya ule uwazi kabla hujaingia kwa lift), ama kwenye entrance lobbies na hata chooni hakuna cemera! Kama umeoneshwa hiyo crip ya video ni baada ya kutoka kwa lift ama wakiagana lift kabla haijafungwa but not inside the lift!
 
none of your business! mambo ya ndoa yanawahusu wenyewe!
 
Mkuu utachekwa acha kuishi kwa mazoea eti kwenye lift hakuna camera sijui upo dunia gani.
 
Mmmhh Ritz wewe huo mda hata dk 5 hazifiki?? Eti mtu kamaliza shida zake.............

Kama umetunga vile au??..................
 
ritz wewe unataka amuache mke wake au ni hatua gani ungependa achukue??kama mwenyewe karidhika mwacheni jamani mbona wanawake wakija na same cases hua mnawaambia wavumilie?
 
Last edited by a moderator:
Mmmhh Ritz wewe huo mda hata dk 5 hazifiki?? Eti mtu kamaliza shida zake.............

Kama umetunga vile au??..................
Aseee.........hii inaitwa attention to detail when scrutinising an incidence!!
unaweka kwenye halisia, then unaweka ideal time..........taken the circumstances zinaruhusu.

balaa hili!!!!
 
Mkuu utachekwa acha kuishi kwa mazoea eti kwenye lift hakuna camera sijui upo dunia gani.

Si kwamba kwenye lift haziwezi kuwepo lift but majengo yetu na hata hilo unalolisema hakuna CCTV camera kwenye lift! Ninaelewa sana kuhusu Lift surveillance cctv camera, but hii story yako haina mashiko mkuu! Ukipata nafasi nenda kaangalie kama kuna hiyo camera? Labda cha kuelewa hapa hizo camera kazi yake ni nini na kwenye lift zinawekwa kwa ajili ya nini?
 
Hii yote mimi naona inasababishwa na haka ka-tabia kakukimbilia kuoa mabinti wenye majina fulani au kuolewa na watu wa aina au majina wakati upendo wa dhati hauko kabisa,inawagharimu watu wengi sana na mwishowe watu mnaanza kudhalilishana wakati mlishakula kiapo mbele za Mungu na mashuhuda kibao,kisa mmesifiwa kwa kuchaguana kwenu kusiko na tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…