Nimesikitishwa sana baada ya kuona kwenye CCTV vitendo alivyofanya shemeji yangu.

Nimesikitishwa sana baada ya kuona kwenye CCTV vitendo alivyofanya shemeji yangu.

Mambo kama haya unaleta JF.Wewe punguani kweli.
Wanabodi JF.

Mie sio mwenyeji sana huku nimeona nije nipate michango yenu kutoka kwenu wadau wa MMU.

Kuna rafiki yangu wa karibu mke wake anafanya kazi benki mmoja maeneo ya posta mpya, mara nyingi anafanya kazi mpaka mida ya saa mbili usiku (part time).

Shughuli zake za kibenki zipo ghorofa ya saba ndio kuna ofisi yake, wakati anatoka kazini mida ya saa mbili usiku huwa anapanda lifti na mmoja wa mfanyakazi mwenzake wa kiume, mida hiyo ofisi zote zimefungwa kwenye jengo hilo.

Kinachofanyika kwenye lifti ni kunyonyana ndimi na kufanya machafu, tuna rafiki yetu pale kwenye hilo jengo yupo kitengo cha CCTV Control room ambaye ndio kanionyesha shemeji yetu anavyofanya uchafu huo.

Bahati mbaya rafiki yetu ambae mwenye mke kaambiwa lakini hataki kuona hizo picha za video za mke wake akifanya uchafu kwenye lift.
 
inauma sana jamani, yaani mm nikifikiria hamu ya kuoa inaisha.
 
Ili ujisafishe na Roho yako itulie watafute ndugu wa kike wa huyo Bwana anayeliwa mkewe yaani mawifi zake, uwapatie hiyo cd watamaliza hilo tatizo wao kiundugu kabisa.

Hahahahahaaaaaaaa! Ndugu ritz1 kwa ushauri huu dhana ya mbayuwayu izingatiwe mkuu!
 
mkuu hapo kwenye kunyonyana ndimi hebu rekebisha kwanza kwa nini isiwe walikuwa wakibadirishana ladha za mate!?
 
mkuu hapo kwenye kunyonyana ndimi hebu rekebisha kwanza kwa nini isiwe walikuwa wakibadirishana ladha za mate!?

Freeze kiss or Melt kiss...
 
Back
Top Bottom