Sasa wewe inakuhusu nini kama mwenye mke hataki we kinachokuuma nini,kama uliuomba akakunyima ndo maana umeamua umuanike humu JF,haitakusaidia hii we dili na mkeo,labda uwezi jua jamaa kashazoe na mama ndo anatoa matumizi we unataka umuaribie, MTU MZIMA KUWA MBEA HAIPENDEZI,UTAVALISHWA GAUNI WEWE
ndugu haya maneno yako ni sehemu zote ama specific mahala fulani.km ni sehemu zote ni uongo coz we nenda pale regency hotel ukafanye utumbo wako choon kama hajaonekana.
Basi mtaaluma yaishe mwaego. Hiyo 'elimu' yako ni ghali sana inaonesha.hizo tambo zangu ziko wapi? Wabongo bwana? Na wapi nimesema elevator haiwezi kuwa na cctv? Au umekurupuka na lako jambo mkuu?
umefikiria au ni unajua lifti zote hapa duniani kuwa kazina cctv?
acha kuongea pumba wewe.
Bahati mbaya rafiki yetu ambae mwenye mke kaambiwa lakini hataki kuona hizo picha za video za mke wake akifanya uchafu kwenye lift.
umefikiria au ni unajua lifti zote hapa duniani kuwa kazina cctv?
acha kuongea pumba wewe.
Mkuu wangu mbongopopo nashukuru kama na wewe umeliona hilo huyo jamaa kajitambulisha kuwa CCTV ndio fani yake anasema hakuna CCTV Cameras kwenye lift..
Usikurupuke kama popo wewe mbongo! Soma hoja zangu vizuri kwa mtiririko na elewa sdubject matter kwa maana ja jengo linaloongelewa, usikimbilie tu dunian wakati hapa bongo huja-exhaust vya kutosha! Wewe mbongo gani au ulikuwa unawashwa tu kutukana mwelevu wewe! Acha kufikiri kwa kutumia masaburi maana sijui mtoa pumba ni nani sasa kati yangu na wewe?
Sasa wewe inakuhusu nini kama mwenye mke hataki we kinachokuuma nini,kama uliuomba akakunyima ndo maana umeamua umuanike humu JF,haitakusaidia hii we dili na mkeo,labda uwezi jua jamaa kashazoe na mama ndo anatoa matumizi we unataka umuaribie, MTU MZIMA KUWA MBEA HAIPENDEZI,UTAVALISHWA GAUNI WEWE
hata hivyo jamani nyie mnatafuta nini kwenye hizo CCTV? huyo controler anatoaje siri za wateja wake kisheria inaruhusiwa kweli? halafu unajua umbea mwingine hauna hata mpango hivi huyo rafiki yenu akitengena na mkewe kwa sababu hiyo mtapata faida gani? nijuavyo mie hakuna alie msafi hata wewe na huyo rafikio mnafanya hayohayo ila tu pengine hamjanswa tu na CCTV! maisha ndivyo yalivyo hata pamoja na kuolewa one can get another guy ambaye anampenda kiukweli na akawa mpango wa kando bila kuharibu ndoa, tangu huyo jamaa yako ajue bila shaka amekosa amani kitu ambacho before hajakijua aliokuwa poa tu
Huyo nae ni rafiki yetu kitendo hicho kilimkwaza ndio maana akaniambia.
Mzee wa Rula.
Lile jengo kuanzia saa 12 linakuwa halina watu jengo zima ni la benki wanakuwa wanapanda wanashuka wakichoka wanashuka wanaondoka.