Nimesikitishwa sana! Kumbe mama mkwe kaweka CCTV camera kwenye nyumba aliyotupa

Masikini hii dunia haiko fair, mwanamke akiwa na mali unakuta ana kiburi mme mpole, kwengine mwanamke ana mali mwanaume hajielewi, hajiamini, anamnyanyasa mkewe ili aonekane mwanaume. inshort mwanaume usioe aliyekuzidi kipato
 
Na mama mkwe yupo huku leo lazima akuchambe hadharani
 
Mkuu unaweza mtunzi mzuri wa mashairi!!

Ps ; tutafute hela sana
 
NIMESIKITISHWA SANA; KUMBE MAMA MKWE ALIWEKA CCTV CAMERA KWENYE NYUMBA ALIYOTUPA.

Anaandika, Robert Heriel.

Niweke wapi USO wangu!
Mambo yote hadharani!
Tupu zangu zipo ukweni,
Wanazitazama tadhani Filamu ya ngono,
Unaandika gazet karne hii...dah..aliesoma anipe summary
 
Yaani hata mimi kunguru wa Manzese nawazidi kwa fasihi

Swali kwako mtoa mada hizo camera ulizijuaje au uliskia tu au moja ya camera ndio imekwambia ?
 
Masikini hii dunia haiko fair, mwanamke akiwa na mali unakuta ana kiburi mme mpole, kwengine mwanamke ana mali mwanaume hajielewi, hajiamini, anamnyanyasa mkewe ili aonekane mwanaume. inshort mwanaume usioe aliyekuzidi kipato
Mgogo vs mvuka bahari kwenda visiwa vya mbali
 
Ba mdogo ndugu yangu na mama samahani [emoji41][emoji41][emoji41][emoji1241][emoji3577]
 
Kwa Leo story ya pil hii kuhusu . Mali za ma mkwe
 
Halafu mwanaume unaishi vipi kwenye nyumba kamera zipo hadi chumbani miaka yote hiyo usigundue..?!
Marehemu Baba yangu alikua anapenda kuniambia, my son in life trust no one, suspect everyone!! Toka nichukuwe formula hiyo,yaani hata Marafiki wa karibu au ndg huwa hawanipi shida kabisa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…