Nimesikitishwa sana! Kumbe mama mkwe kaweka CCTV camera kwenye nyumba aliyotupa

Nilicho fundishwa na kuelewa ukweni sio kwetu pale unaenda kwa sababu maalum tu na niliambia hata kulala ukweni ni ishira ya udhaifu toka nenda hata lodge, sasa mzee wewe unapewa hadi nyumba ulionyesha weakness sana tena kubwa na haya ndio malipo.

Ndoa sio lelemama mzee ndio mana unaitwa mwanaume kamili ukiweza ishi na mwanamke miaka kadhaa maana pale unaenda pigana vita vya hisia, mapenz, chuki, usaliti na mengine mengi, unapo shindwa simamia nyumba yako na uana ume wako basi wata kusaidia sasa wewe umesaidiwa na wakwe ukae utulie.
 
Kwanza mwanaume mzima unakaaje nyumba ulopewa na mama mkwe!!!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mama mkwe wako inaonekana ana matatizo!!

Hii dunia hii ina mambo!
 
MWANAUME MZIMA UNAISHI NYUMBA YA KUPEWA NA MAMA MKWE!!???
Nifanyeje sasa Mkuu?

Maisha yananiadhibu

Ndoa ni jukumu zito
Tafuta Mali ndio uoe.... hakuna heshma ya bure ukweniπŸ˜…πŸ˜…
 
Sasa Kwa nini mtege kamera kwenye nyumba mlizoamua kuwapa Wakwe zenu?

Mwanamke ni malaika msaidizi wa mwanaume, sio mtendaji Mkuu
Mwanamke ni malaika mleta habari na mpeleka habari. Hata isipokuwepo cctv habari zitaenea tuu

Luka 24:10
Hao waliotoa habari hizo kwa mitume ni: Maria Magdalene, Yoana na Maria mama wa Yakobo, pamoja na wanawake wengine walioandamana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…