madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,498
- 2,927
Fedha zitatumika kwenye uchaguzi ambao kimsingi haupo maana viongozi wetu tayari tunao. Uchaguzi wa nini sasa? Kwanini ulipe wasimamizi wasio na kazi?Tuite Uhujumu demokrasia
Kuanzia 1995 wakati vyama vya upinzani vinaanza walijazaje Form washindwe kijana 2019?