Zamani mlizoea kuishi kwa kuvunja sheria ili hali mkiitaka serikari ifate sheria, sasa wamefata sheria, kilio kimekuwa kikubwa kwa wataka haki ya sheria, mlidhani wanaotakiwa kufata sheria ni mapunda sio watu? Sheria ya uchaguzi 2017 inataka muwe na uongozi kwenye kata na mashina ninyi hamtaki kuwachakuwa huko kweye vyama vyenu sasa kosa liko wapi, mnataka uongozi wa kata huku hamna uongozi wa chama wa kata/kitogoji, sasa nani mkosaji?