Mhh haya mengine tena
Napendekeza sheria iwe hivi
Mtoto wa umri chini ya miaka 18 hawezi kuridhia tendo la ngono au kukeketwa na adhabu inayotolewa kwa wanaume/Ngariba wanaokiuka sheria hii ni kifungo cha maisha au kifungo kisichopungua miaka 30 jela
Msitushambulie hivo kwamba tunachinjana mara wakatili mbona watu wanachinjana mikoa yote hapa Tanzania ama mmekariri Mara tuuu, acheni hizo za kienyeji, tuongelee issue hapa ambayo ni ukeketaji haufai sio kuruka ruka hapa ohh makatili,wanachinja,ndo nini sasa!!!
Hata majuzi Tanga mtu kaua mkewe na wala sio mkurya nyie mmekariri mambo ya kienyeji kushambulia wakurya mana mmeshapewa sumu na media za CCM...wakurya sio wakatili ila hawapendi unafiki na majungu of which watz wengi ndio kazi mnapenda hiyo ndio mana mnasema sisi katili.
baelelezeee mura!Msitushambulie hivo kwamba tunachinjana mara wakatili mbona watu wanachinjana mikoa yote hapa Tanzania ama mmekariri Mara tuuu, acheni hizo za kienyeji, tuongelee issue hapa ambayo ni ukeketaji haufai sio kuruka ruka hapa ohh makatili,wanachinja,ndo nini sasa!!!
Hata majuzi Tanga mtu kaua mkewe na wala sio mkurya nyie mmekariri mambo ya kienyeji kushambulia wakurya mana mmeshapewa sumu na media za CCM...wakurya sio wakatili ila hawapendi unafiki na majungu of which watz wengi ndio kazi mnapenda hiyo ndio mana mnasema sisi katili.
Mkuu wamevunja sheria gani.
Sidhani kama kuna sheria hapa!Sheria hii hapa WAKUU
Sheria inatamka kwamba mtu yeyote anayemshikilia, au kumtunza msichana aliye chini ya miaka 18 na ambaye amesababisha akeketwe anatenda kosa la kikatili kwa watoto. Adhabu kwa kosa la aina hiyo ni kifungo cha hadi miaka 15 na/au faini ya shilingi za Tanzania 300,000 ($ 220).
Kama ni swala la haki za binadamu,si zinasema mtu awe huru kufanya analota alimradi haingilii uhuru wa mtu mwingine? Basi tuwaache wanaohiari kukeketwa wakeketwe,wana uhuru wao iwapo wako over 18,na kama ni under 18,sheria inasema wako chini ya uangalizi wa walezi/wazazi wao,kwa maana kwamba watakachorithia walezi/wazazi wao ndicho kinastand kwa niaba ya mtoto.Wanaume wanafanyiwa modification kwa kutahiriwa,hilo mwaona sawa,akifanyiwa modification mwanamke,kosa.Hii si haki.wapeni watu uhuru kuamua maisha yao ya kijinsia kama ambavyo ushoga,usagaji ulivyo halalishwa maeneo mengi duniani.Wazee wetu si wajinga kiasi hicho kama mnavyofikiria,walipoweka ukeketwaji vibinti walikua na maana nzuri tu na zenye mashiko kiafya,kimaadili.Au kwa sababu wazungu hawafanyi hivyo,mnaiga kama kawaidayenu.Mila na desturi zetu za kiafrica zinaharibiwa na tamaduni za kimaghalibi.Maghalibi wakisema ushoga ni sawa,na Tz mtahalalisha,huu ni ukoloni na tutatawaliwa milele.By the way,si wanaume wote wanapenda waliokeketwa,hawa hamuwanyimi haki?
jana niliona jinsi wananchi wa mkoa wamara walivyokuwa wanashabikia ukeketaji wa vibinti vidogo tena siyo kwa ridhaa yao
sheria zipo na wanazivunja na vyombo vina kaa kimya
hivi hawa watu wapo juu ya sheria ama vyombo vimeshindwa kufanya kazi
sasa hawa ni wazazi wa kesho itakuaje?
Kuna mmoja alikimbia na hii inaonyesha wazi kuwa watoto hawapendi ila wanalazimishwa kufanyiwa kitu wasichopenda.
Imeniuma sana
oooh my goodness,walikuwa na maana gani kiafya na kimaadili ambazo makabila mengine na the rest of the world wasizione???
nyie wakurya ni wabishi kweli,hata mkipata testimony ya mwanamke aliyekeketwa.....bado mtatetea ujinga wenu...sijui mkoje?:embarrassed::embarrassed:
mkoa wa mara
jamani oneni aibu
kwa nini mnawakeketa wakina bhoke, obhari, nyanswi, n.k.
Embu ondokaneni na mila zisizokuwa na faida
generalization of tacts is stupidity[/QUOT
???????????????????
kama ni mkurya...pole!!wewe ndio ukabebe kipaza sauti ukawaelimishe wenzio...juu ya mila hizi potofu...
so,unadhani kelele za vidole vyako kwenye computer zimefika tarime?
Chukua hatua na uache unafiki wa kutataa kinyesi huku umekikalia
ulichukua hatua gani kama mpenda maendeleo ?
Au ulifyata mkia na kuja kulalamika hapa?
Atleast uandike mada gazetini wakubwa au wahusika wataipata,au ungeripoti polisi!
Ila kama huja fanya chochote unakuja kulalamika hapa haisaidii kitu bora kukaa kimya tu