Kama ni swala la haki za binadamu,si zinasema mtu awe huru kufanya analota alimradi haingilii uhuru wa mtu mwingine? Basi tuwaache wanaohiari kukeketwa wakeketwe,wana uhuru wao iwapo wako over 18,na kama ni under 18,sheria inasema wako chini ya uangalizi wa walezi/wazazi wao,kwa maana kwamba watakachorithia walezi/wazazi wao ndicho kinastand kwa niaba ya mtoto.Wanaume wanafanyiwa modification kwa kutahiriwa,hilo mwaona sawa,akifanyiwa modification mwanamke,kosa.Hii si haki.wapeni watu uhuru kuamua maisha yao ya kijinsia kama ambavyo ushoga,usagaji ulivyo halalishwa maeneo mengi duniani.Wazee wetu si wajinga kiasi hicho kama mnavyofikiria,walipoweka ukeketwaji vibinti walikua na maana nzuri tu na zenye mashiko kiafya,kimaadili.Au kwa sababu wazungu hawafanyi hivyo,mnaiga kama kawaidayenu.Mila na desturi zetu za kiafrica zinaharibiwa na tamaduni za kimaghalibi.Maghalibi wakisema ushoga ni sawa,na Tz mtahalalisha,huu ni ukoloni na tutatawaliwa milele.By the way,si wanaume wote wanapenda waliokeketwa,hawa hamuwanyimi haki?