N nzagambadume JF-Expert Member Joined Apr 9, 2018 Posts 2,430 Reaction score 5,779 Feb 11, 2019 #1 yaani sisi tupo kwenye vita kali na mabebebru halafu serikali ya zanzibar inawalamba miguu?kwa ajili gani jamani?watalii? tutaenda sisi wenyewe wasitutishe bana, watakuja hata rafiki zetu w akichina kutalii huko tena uzuri wale hawanaga masharti
yaani sisi tupo kwenye vita kali na mabebebru halafu serikali ya zanzibar inawalamba miguu?kwa ajili gani jamani?watalii? tutaenda sisi wenyewe wasitutishe bana, watakuja hata rafiki zetu w akichina kutalii huko tena uzuri wale hawanaga masharti