nimesikitishwa wazanzibari kuwalamba miguu MABEBERU

nimesikitishwa wazanzibari kuwalamba miguu MABEBERU

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
yaani sisi tupo kwenye vita kali na mabebebru halafu serikali ya zanzibar inawalamba miguu?kwa ajili gani jamani?watalii? tutaenda sisi wenyewe wasitutishe bana, watakuja hata rafiki zetu w akichina kutalii huko tena uzuri wale hawanaga masharti
Capture.PNG
 
Back
Top Bottom