Nimesimamishwa masomo Chuo Kikuu cha Dar es salaam.

nashukuru mkuu. Jamvini niko muda mrefu, ID tu ndo nimekuja nayo kuwapea taarifa...
watu kama wewe ndio mnatupa taabu na ID zenu nyingi nyingi, afadhali "wamekunyamazisha", argh!!
 
You have to play more smarter than the Admn in order to win the battle!!
 
You have to play more smarter than the Admn in order to win the battle!!

thank you for that piece of advice bro.
I'm trying my level best to achieve that kinda smartness...
 
watu kama wewe ndio mnatupa taabu na ID zenu nyingi nyingi, afadhali "wamekunyamazisha", argh!!

duh?
Kumbe ukisimamishwa masomo unakuwa umenyamazishwa eh?
Nilikuwa siyajui hayo mie...
 
Watanzania ni uvumilivu...ujinga kama huu ungefanyika elsewhere mambo yangekuwa ni magumu sana.Otherwise stand firm brother,hope you will stand!! Naumia wakuu natamani hata kufa,hali hii mpaka lini?
 
nashukuru sana mkuu kwa kunijali. Mimi ni Mtanganyika, usitishike na hayo maneno hapo juu...

Nna mashaka makubwa na uyasemayo, Watanganyika tulimaliza kusoma zamani, kama ndio kwanza upo chuoni, wewe hata hiyo Tanganyika hujaiona, pengine hata wazee wako hawajaiona wanaisikia tu.

Utaifa wako unanitia mashaka na namna unavyoandika nna uhakika si Mtanzania na wala si msomi, labda ndio ulikuwa "bize" kwa kuandaa na maandamano na vurugu hata masomo yakakupiga chenga?

Hustahiki hata kupewa pole. Waswahili hunena "kiranga komo", tena namuomba Mkandala asiwarudishe chuoni, wenye kutaka kusoma tunawaona wako "bize" wakijitayarisha na mitihani.
 
Wanafunzi lazima kila siku mkumbuke kuwa kile kilichowapeleka chuoni ni kusoma. Hicho ndicho kitu cha kwanza. Mambo ya siasa yapo uraiani mtayakuta mtakapomaliza shule. Mimi siungi mkono hata siku moja njia mnayotumia kudai haki zenu kama vile kwa kuwalazimisha wanafunzi wasioafiki matakwa yenu kwa kuwafukuza madarasani.
 
Tatizo la watu wazembe wa kufikiri. Nenda UDSM ukafanye research u will get the truth na usitegemee taarifa kutoka kwa TBC1, Star TV na n.k
 
Usife moyo, utarudi shule, kwa sasa tafuta shughuli ya kufanya ujipange upya
 
Usife moyo, utarudi shule, kwa sasa tafuta shughuli ya kufanya ujipange upya

Hana cha uanafunzi huyo, ni mtu ambae katumwa kufanya chokochoko, kila hoja yeye huingia au huanzisha kwa kusudi la kutenganisha na si kujenga, wengine tumesha mstukia ni nani. Msome vizuri utanielewa nnachosema.
 
Hiyo kauli ni tosha kabisa kuwa wewe ni mchonganishi na si mwanafunzi wa UDSM na wala hukufukuzwa chuo.
 
Usife moyo, utarudi shule, kwa sasa tafuta shughuli ya kufanya ujipange upya

nashukuru mkuu.
Kwa sasa niko kitaa, kwa kuwa kuna fununu kuwa senate ya chuo inaeza kutuita muda wowote. Siwezi kuwa na long plan kwa sasa...
 
Watanzania ni uvumilivu...ujinga kama huu ungefanyika elsewhere mambo yangekuwa ni magumu sana.Otherwise stand firm brother,hope you will stand!! Naumia wakuu natamani hata kufa,hali hii mpaka lini?

I'll stand firm.
I promise, ila usife ndugu. Ukifa nani atasimama kwa wanyonge?
Tunataka uzao utakaotukoa na mabosi wa akina FF, we need way forward...
Sawasawa?
 
mungu atakusaidia.sina mengi ya kukwambia ndugu yangu zaidi yakuona nchi inaelekea pabaya badala ya kuongeza wasomi tunapunguza
 
eti eh?
Ile sio siasa ndugu, ni kudai haki ya wengi inayoporwa na wachache. Kuidai ni wajibu wa yeyote, na sio mtu fulani.
Kusoma kunakuwaje kwa raha kama wengi wenu hawana mikopo, ambayo ndiyo inayowaweka mjini. Yet, haohao ndio walisomeshwa bure na JKN.
Inauma uchungu alooo...
 
Hivi bado hamjamstukia huyu Sobhuza? hata lugha yake inaonesha kabisa kuwa huyu si Mtanzania na yupo hapa kutia fitna. Nawashangaa sana ambao bado mnamuunga mkono.

Mimi nnapinga huyu si mwanafunzi wa UDSM na wala hajafukuzwa chuo.
 
wewe kijana wa nape, inatosha sasa
 
DARUSO kwa upande mwngn mmeboa sana, mmesubiri sana watu wasahau ndo nyie mnaibuka w,isho ndo maana mmekosa mashiko na sapot toka kwa watu. pia seikali yenu imegawanyika sana na mmesababisha wanafunzi wengi zaidi kufukuzwa.
hongera sana na nyie mmeonja utam wa kuvaa kaptura kuuuubwa wakati viuno vyenu vidogo.
:hat:
 
Jiandae kuwa mtu wa vijiweni. CDM wamekuponza. Nenda kawaone, labda wanaweza hata kukupa kaz ya kuwa mfagizi wa ofisi zao chafu chaf pale Kinondoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…