Nimesitisha kwenda gym na sitaki tena six packs

Nimesitisha kwenda gym na sitaki tena six packs

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuka wanajamvi!

Yani tunaenda gym kila siku mara tano kwa wiki. Kujiweka fit kuwavutia akina dada. Lakini mibongo mengine imeshabughia na kushindilia viporo vya kande iliyochacha na kuvimbiwa mitumbo wanaanza kutuita wenye mwili wa mazoezi eti mashoga.

Hii chisel shape body yangu na six packs sitaki tena. Sasa hivi nasaka kitambi kwa udi na uvumba.

Wabongo tuna roho mbaya utakuta hata kwenye magari eti kuna magari flani ni ya wanawake mwanaume akiiendesha unachekwa.

Cc secret file
 
Faida ya kuwavutia wanawake halafu unatoa na pesa huo ni uchizi, Bora ujenge mwili uwe model ufanye matangazo na fashion show uingize mpunga. Maneno yapo tu Cha msingi ishi maisha yako achana na maneno ya watu
 
Back
Top Bottom