Nimesitisha kwenda gym na sitaki tena six packs

Demu mwenyewe ndio huyu unae jimwaya mwaya nae ufukweni [emoji38][emoji38] you can't be serious men
Screenshot_2020-06-25-19-27-48-1.jpg
 
Msosi gani? Unamaanisha kiporo cha kande iliyochacha?

Unajua Salmon weweee? Unajua Brocoli wewee? Unayajua matunda ya peaches sewee? Unajua spanish eggs wewe?

Wewe ukila salmon sie tunakula dagaa na Dona😋😋...ukila broccoli sie tunakula cabbage ...ukila Spanish eggs sie tunachemsha mayai na Cocacola juu🤭🤸🤸
 
Mzuka wanajamvi!

Yani tunaenda gym kila siku mara tano kwa wiki. Kujiweka fit kuwavutia akina dada. Lakini mibongo mengine imeshabughia na kushindilia viporo vya kande iliyochacha na kuvimbiwa mitumbo wanaanza kutuita wenye mwili wa mazoezi eti mashoga.

Hii chisel shape body yangu na six packs sitaki tena. Sasa hivi nasaka kitambi kwa udi na uvumba.

Wabongo tuna roho mbaya utakuta hata kwenye magari eti kuna magari flani ni ya wanawake mwanaume akiiendesha unachekwa.

Cc secret file
Huo muda unautumia gym si bora ungeenda kubeba box upate hela ili uhame kwa shemeji yako
 
Mzuka wanajamvi!

Yani tunaenda gym kila siku mara tano kwa wiki. Kujiweka fit kuwavutia akina dada. Lakini mibongo mengine imeshabughia na kushindilia viporo vya kande iliyochacha na kuvimbiwa mitumbo wanaanza kutuita wenye mwili wa mazoezi eti mashoga.

Hii chisel shape body yangu na six packs sitaki tena. Sasa hivi nasaka kitambi kwa udi na uvumba.

Wabongo tuna roho mbaya utakuta hata kwenye magari eti kuna magari flani ni ya wanawake mwanaume akiiendesha unachekwa.

Cc secret file
Brother Be yourself
 
Back
Top Bottom