Nimesitisha Zoezi la kutafuta mchumba JF

mwathu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
403
Reaction score
210
Wanajam I nimeamua kutangaza rasmi kuwa nimesitisha lile tangazo nililowahi kulitoa kuwa natafuta mwenza hapa jamvini, si kuwa nimempata la hasha ila nadhani imenilazimu kujitoa kwenye huu ulimwengu wa kila kitu kuwa feki, nawashauri vijanA tuwe makini katika utafutaji wa wachumba ili kuepuka kuangukia kwenye majanga. usiku mwema.
 
Chezea ushakula vya mbavu ugoko n za uso za kutosha. Nways pole next time utakuwa muangalifu zaidi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hahha nyie bwana yaani kwa akili zenu zote mwadhani kuwa cyber space ndio sehwmu ya kupata mweza....watu hapa wanapitisha muda na deceit ipo ya hali ya juu
 
Pole sana ndugu..! Humu walio serious ni wachache saaaaana.
 
oooh jamani ndo nilikuwa natuma pm sa hivi....
 
Wanajam I nimeamua kutangaza rasmi kuwa nimesitisha lile tangazo nililowahi kulitoa kuwa natafuta mwenza hapa jamvini, si kuwa nimempata la hasha ila nadhani imenilazimu kujitoa kwenye huu ulimwengu wa kila kitu kuwa feki, nawashauri vijanA tuwe makini katika utafutaji wa wachumba ili kuepuka kuangukia kwenye majanga. usiku mwema.

Naturale does it better mkuu,
kama umeshindwa kuona hao wote unaopishana nao kila siku..sidhani kama utaona popote.
 
Pole cna ila hujatueleza uliyokutana nayo/yaliyokukuta. Funguka......

Sent from my BlackBerry
 
Sijui kwa upande wa watu wengine but to me it was real na Iwas serious on it but unakuta watu wengi wanakupm wakidai wana sifa unazitaka but when you face them unagundua kila kitu ni fake, kama mtu anakudanganya siku ya dating unaexpect nin huko mbele ya safari.

ni vyema watu wakawa true kwa feeling zao ili kuepusha kuwa na wrong partner, mapenzi yamekuwa fake na wapenzi nao fake basi shida tupu, ila si discourage wanaotafuta coz huenda ikawa ni bahati mbaya yangu na kwao things could turn on their ways but let us be serious in what we are lookin for.
 
ahh unekutana na catfish ee?
 
Pole sana mkuu, itakuwa umekutana na shankupe la magomeni bila shaka.
 
Duh janga Hilo!nakumbuka enzi zangu nilikuwa natafuta wa kugonga tu kwenye mtandao...dah wakitokea physically nilikuwa natamani nipotezee ..Nabaki kujuta...tatizo kwenye simu sauti zao zipo very nicely and sexy ...ila akitokea tofauti kabisa!..nikishagonga sirudi ng'o
 
Wengine wanafurahia kucheza na akili za watu! Endelea kumtumainia Mungu, utampata tu aliye serious.
 
Back
Top Bottom