mwathu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 403
- 210
Wanajam I nimeamua kutangaza rasmi kuwa nimesitisha lile tangazo nililowahi kulitoa kuwa natafuta mwenza hapa jamvini, si kuwa nimempata la hasha ila nadhani imenilazimu kujitoa kwenye huu ulimwengu wa kila kitu kuwa feki, nawashauri vijanA tuwe makini katika utafutaji wa wachumba ili kuepuka kuangukia kwenye majanga. usiku mwema.