oooh jamani ndo nilikuwa natuma pm sa hivi....
siwezi kumlazimisha bwanaHehehe hujachelewa jamaa anaweza akabadili mwelekeo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wanajam I nimeamua kutangaza rasmi kuwa nimesitisha lile tangazo nililowahi kulitoa kuwa natafuta mwenza hapa jamvini, si kuwa nimempata la hasha ila nadhani imenilazimu kujitoa kwenye huu ulimwengu wa kila kitu kuwa feki, nawashauri vijanA tuwe makini katika utafutaji wa wachumba ili kuepuka kuangukia kwenye majanga. usiku mwema.
ahh unekutana na catfish ee?Sijui kwa upande wa watu wengine but to me it was real na Iwas serious on it but unakuta watu wengi wanakupm wakidai wana sifa unazitaka but when you face them unagundua kila kitu ni fake, kama mtu anakudanganya siku ya dating unaexpect nin huko mbele ya safari.
ni vyema watu wakawa true kwa feeling zao ili kuepusha kuwa na wrong partner, mapenzi yamekuwa fake na wapenzi nao fake basi shida tupu, ila si discourage wanaotafuta coz huenda ikawa ni bahati mbaya yangu na kwao things could turn on their ways but let us be serious in what we are lookin for.
oooh jamani ndo nilikuwa natuma pm sa hivi....
Mi ukinitest nakutest tube kabisa shauri lakoIt's good to test a guy first before you believe him. But don't let him wait that long