Nimesoma Bachelor Degree in Business Management, natafuta ajira

Nimesoma Bachelor Degree in Business Management, natafuta ajira

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
14,421
Reaction score
40,936
, Wakuu ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni mwenyeji wa Iringa na Dar es Salaam.

Narudi kwa mara nyingine kwenye jukwaa hili nikiwa na ombi la ajira. Nimesoma Diploma in Procurement and Logistic Management na Bachelor Degree in Business Management, kwa yoyote atakaeweza kunisaidia kazi inayoendana na proffesional niliyosoma au kazi yoyote nitashukuru sana.

Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote na kufanyiwa majaribio kama ukihitaji kujiridhisha na uwezo wangu. Asanteni wote kwa kusoma andiko langu.
 
wanasema eti tujiajiri
Mtaji changamoto mkuu na hata ujuzi wa biashara husika mpaka uje kuujua kiundani biashara itapitia misukosuko kwanza sasa hapo kama hauna back up ndo biashara inakufa kabisa ni vyema ukawa chini ya mtu kwanza ili kupata ujuzi zaidi pamoja na mtaji
 
Wakuu ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni mwenyeji wa iringa na dar es salaam..

Narudi kwa mara nyingine kwenye jukwaa hili nikiwa na ombi la ajira. Nimesoma diploma in procurement and logistic management na bachelor degree in business management, kwa yoyote atakaeweza kunisaidia kazi inayoendana na proffesional niliyosoma au kazi yoyote nitashukuru sana.

Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote na kufanyiwa majaribio kama ukihitaji kujiridhisha na uwezo wangu. Asanteni wote kwa kusoma andiko langu.
Jaribu Burundi
 
Mtaji changamoto mkuu na hata ujuzi wa biashara husika mpaka uje kuujua kiundani biashara itapitia misukosuko kwanza sasa hapo kama hauna back up ndo biashara inakufa kabisa ni vyema ukawa chini ya mtu kwanza ili kupata ujuzi zaidi pamoja na mtaji
Jaribu unajua kuanza ndio kugumu ila ukiingia ndani ya system unapata perspective tofauti, ugumu ndio kujifunza ndg
 
Wakuu ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni mwenyeji wa iringa na dar es salaam..

Narudi kwa mara nyingine kwenye jukwaa hili nikiwa na ombi la ajira. Nimesoma diploma in procurement and logistic management na bachelor degree in business management, kwa yoyote atakaeweza kunisaidia kazi inayoendana na proffesional niliyosoma au kazi yoyote nitashukuru sana.

Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote na kufanyiwa majaribio kama ukihitaji kujiridhisha na uwezo wangu. Asanteni wote kwa kusoma andiko lang
 
Karibuni Kalynda e-commerce tutengeneze commission pamoja mtandaoni,, kwa mtaji wa 20,000 mpaka 200,000 kwa wanaoanza utakuwezesha kupata commission yako ya sh.800 mpaka 8,000 kwa siku..Vitendea kazi ni simu yako na bando lako popote ulipo Tanzania...Mwenye uhitaji nicheki WhatsApp 0657940974 nikupe link..mwenye uhitaji wa kujua zaidi tembelea ofc za Kalynda PSSSF Tower 30th floor karibu na TRA HQ maeneo ya Stesheni..
 
Back
Top Bottom