Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Mtaji changamoto mkuu na hata ujuzi wa biashara husika mpaka uje kuujua kiundani biashara itapitia misukosuko kwanza sasa hapo kama hauna back up ndo biashara inakufa kabisa ni vyema ukawa chini ya mtu kwanza ili kupata ujuzi zaidi pamoja na mtajiwanasema eti tujiajiri
Jaribu BurundiWakuu ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni mwenyeji wa iringa na dar es salaam..
Narudi kwa mara nyingine kwenye jukwaa hili nikiwa na ombi la ajira. Nimesoma diploma in procurement and logistic management na bachelor degree in business management, kwa yoyote atakaeweza kunisaidia kazi inayoendana na proffesional niliyosoma au kazi yoyote nitashukuru sana.
Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote na kufanyiwa majaribio kama ukihitaji kujiridhisha na uwezo wangu. Asanteni wote kwa kusoma andiko langu.
Poa mkuuJaribu Burundi
Jaribu unajua kuanza ndio kugumu ila ukiingia ndani ya system unapata perspective tofauti, ugumu ndio kujifunza ndgMtaji changamoto mkuu na hata ujuzi wa biashara husika mpaka uje kuujua kiundani biashara itapitia misukosuko kwanza sasa hapo kama hauna back up ndo biashara inakufa kabisa ni vyema ukawa chini ya mtu kwanza ili kupata ujuzi zaidi pamoja na mtaji
Wakuu ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni mwenyeji wa iringa na dar es salaam..
Narudi kwa mara nyingine kwenye jukwaa hili nikiwa na ombi la ajira. Nimesoma diploma in procurement and logistic management na bachelor degree in business management, kwa yoyote atakaeweza kunisaidia kazi inayoendana na proffesional niliyosoma au kazi yoyote nitashukuru sana.
Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote na kufanyiwa majaribio kama ukihitaji kujiridhisha na uwezo wangu. Asanteni wote kwa kusoma andiko lang