Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 406
Nenda kasome post graduate ya Education utapata ajira hata serikalini
Baada ya kupigika kitaa,leo ndo unajifanya unaupenda ualimu!
University of Iringa hawezi kuwa na ada ya afadhali.Nenda University of Iringa(zamani Tumaini) ukasome Pgde wao ada yao ni afadhari tofauti na vyuo vingine ukichelewa na wao watapandisha
Shake Money,
Hilo linawezekana kwa wewe kusoma postgraduate dip ya ed.Ungekuwa Scıence ungeweza ajiriwa kwa kupewa kibali na katıbu mkuu then ukasome.Ila ondokana na dhana potofu, eti "hata O'level nitafundisha".
Kufundisha ngazı ya chinı ya elimu haina maana kwamba wewe sio msomi ama haujuı, ni mpangilio na mgawanyo wa masomo shulenı. Kuna walimu hapa Dar wa shule za msingi lakini wana masters tena wengne masters za science sio hyo HISTORY YAKO.
Baadhı ya nchi duniani za chini za elimu hufundishwa na wabobevu km dkts na profs.
Post namba 4 kamtihani kadogo kamekushinda. Nilifikiri ningekuta kwenye pm page mbili za historia nikuunganishe kama nilivyokwambia post namba 4.
Logistics and transport management.
University of Iringa hawezi kuwa na ada ya afadhali.
Bi mkubwa samahani kwa kuchelewa kujibu post yako.
Naomba nafasi ya logistic and transport kwa hapa kama una connection tafadhali!
Nimekuelewa kiongozi,mi ningekuwa karibu na hicho chuo ningeapply ila nipo mbali na mkoa wa Iringa na nina kaajira nimejishikiza,vp kuhusu open university wanatoa hii PGD na gharama zao zipoje?
mnasoma vitu vya ajabu ajabu huko mkikosa ajira mnakimbilia ualimu,kwanini usingeenda Ed toka mwanzo?