Nimesoma fani tofauti lakini nataka kuwa mwalimu

Nimesoma fani tofauti lakini nataka kuwa mwalimu

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
406
Wakuu habari za weekend.?

Kijana mwenzenu hapa najaribu kuwaza the impossibles kuwa possible.

Kwa hali ya sasa inavyokwenda na mtikisiko wa anguko la ajira ualimu, bado nataka kuingia katika sector hii japo sina sifa

Wakuu naombeni miongozo yenu, mimi nina degree tofauti kabisa na education, nina mpango wa kufundisha lakini japo somo la history hata kama ikiwa ni O level kwa kuanzia.

Naombeni mwongozo hapa. Nifuate utaratibu gani ili niingie kwenye hiii sector?

Natanguliza shukurani.
 
Nenda kasome post graduate ya Education utapata ajira hata serikalini
 
Andika page mbili za historia yoyote uipendayo, ntaipitia na kuona kama imefikia viwango, ukiweza nnakuunganisha na mkuu wa shule private. Nakupa masaa mawili; Anza...
 
Nenda University of Iringa(zamani Tumaini) ukasome Pgde wao ada yao ni afadhari tofauti na vyuo vingine ukichelewa na wao watapandisha
 
Shake Money,

Hilo linawezekana kwa wewe kusoma postgraduate dip ya ed.Ungekuwa Scıence ungeweza ajiriwa kwa kupewa kibali na katıbu mkuu then ukasome.Ila ondokana na dhana potofu, eti "hata O'level nitafundisha".

Kufundisha ngazı ya chinı ya elimu haina maana kwamba wewe sio msomi ama haujuı, ni mpangilio na mgawanyo wa masomo shulenı. Kuna walimu hapa Dar wa shule za msingi lakini wana masters tena wengne masters za science sio hyo HISTORY YAKO.

Baadhı ya nchi duniani za chini za elimu hufundishwa na wabobevu km dkts na profs.
 
Last edited by a moderator:
Shake Money,

Hilo linawezekana kwa wewe kusoma postgraduate dip ya ed.Ungekuwa Scıence ungeweza ajiriwa kwa kupewa kibali na katıbu mkuu then ukasome.Ila ondokana na dhana potofu, eti "hata O'level nitafundisha".

Kufundisha ngazı ya chinı ya elimu haina maana kwamba wewe sio msomi ama haujuı, ni mpangilio na mgawanyo wa masomo shulenı. Kuna walimu hapa Dar wa shule za msingi lakini wana masters tena wengne masters za science sio hyo HISTORY YAKO.

Baadhı ya nchi duniani za chini za elimu hufundishwa na wabobevu km dkts na profs.

Asante sana mkuu.

Mimi niko Dar, sio mbaya kama ukipata deal la logistics and transport ukanistua vile vile.

Shukrani sana mkuu.
 
Post namba 4 kamtihani kadogo kamekushinda. Nilifikiri ningekuta kwenye pm page mbili za historia nikuunganishe kama nilivyokwambia post namba 4.

Bi mkubwa samahani kwa kuchelewa kujibu post yako.

Naomba nafasi ya logistic and transport kwa hapa kama una connection tafadhali!
 
University of Iringa hawezi kuwa na ada ya afadhali.

Kijana acha kubisha ili uonekane tu unajua kubisha wakati huna uhakika na unachoongea, nina rafiki zangu wawili wamemaliza degree zao mwaka jana nakuunganisha moja kwa moja kusoma Pgde Chuo kikuu cha Iringa,

degree zaozakwanza wamesoma UDOM na mipango yao ilikuwa nikujiunga palepale UDOM so ilishindikana kutokana na ada kubwa wanayotoza pale UDOM, hii iliwalazimu waangalie unafuu wa ada kwa vyuo vingine vinavyotoa Pgde,

Chuo kikuu cha Iringa kilionekana kina ada ndogo kushinda vyuo kama Udom, Udsm, duce, Mkwawa na Teku so iliwalazimu kutuma maombi Chuo kikuu cha Iringa ambako wanasoma kwasasakwa sasa na mwezi wa kumi mwaka huu wanatarajia kumaliza.

Chuo kikuu cha Iringa mpaka umalize Pgde yako unahitaji kuwa na Tsh milioni 2 na laki moja tofauti navyuo vingine ada si chini ya milioni 3.

Kwaiyo usiwe unabisha kitu ambacho huna uhakika nacho au umeshakalili kwamba kwa vile wana ada kubwa kwenye undergraduate courses basi ata kwenye Postgraduate watakua na ada kubwa.

Kijana usihishi kwa kukalili wengine huwa hatupendi kuandika vitu ambavyo hatuna uhakika navyo ukiona tumeandika ujue tumefanya utafiti na tunauhakika, ata ukitaka kufanya MA(Masters) Chuo kikuu cha Iringa bado kinaada nafuu tofauti na vyuo vingine, kwa upande Wa masters mpaka umalize unahitajika kulipa kama milioni tank.
 
Bi mkubwa samahani kwa kuchelewa kujibu post yako.

Naomba nafasi ya logistic and transport kwa hapa kama una connection tafadhali!

Umemaliza chuo mwaka gani? Kama hutojali niambie umefanya interview ngapi zinazoendana na fani yako.
 
KILLANEKELI,

Nimekuelewa kiongozi, Mi ningekuwa karibu na hicho chuo ningeapply ila nipo mbali na mkoa wa Iringa na nina kaajira nimejishikiza, vp kuhusu open university wanatoa hii PGD na gharama zao zipoje?
 
Last edited by a moderator:
Nimekuelewa kiongozi,mi ningekuwa karibu na hicho chuo ningeapply ila nipo mbali na mkoa wa Iringa na nina kaajira nimejishikiza,vp kuhusu open university wanatoa hii PGD na gharama zao zipoje?

Unaweza ukasoma Open nasikia nao wanaada naafuu, sijajua wanalipa kiasi gani ila kuna mtu aliniambia haizidi milioni mbili.
 
mnasoma vitu vya ajabu ajabu huko mkikosa ajira mnakimbilia ualimu,kwanini usingeenda Ed toka mwanzo?

Kweli ww ni ganja umeaumua kuvunja ukimya, anajiita shake money but hawezi hata tengeneza idea ya money hadi kaamua ku give up.
 
Back
Top Bottom