Nimesoma IT, Electrical Installation, pamoja na kufunga Camera System, Fire Alarms, Electric Fence, WI-FI setup - natafuta kazi

Nimesoma IT, Electrical Installation, pamoja na kufunga Camera System, Fire Alarms, Electric Fence, WI-FI setup - natafuta kazi

Joined
Jan 23, 2020
Posts
13
Reaction score
6
Habari za jioni waungwana.

Kama nilivyoeleza hapo juu kwenye heading hio, Nimefanya kazi zote hizo kwa muda tofauti tofauti na bado hahusika nazo mpaka Sasa.

Nimekuja kwenu kuomba msaada wa kampuni, shirika, mtu binafsi atakayeweza/kuwa tayari kufanya kazi na mimi.

Napatikana mkoa wa pwani/bagamoyo ahsante sana.
 
Back
Top Bottom