Nimesoma IT, natafuta kazi

SeriuosIdea

New Member
Joined
Jan 6, 2025
Posts
3
Reaction score
1
Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
 
Ukiwa unaomba kazi jitahidi kuweka hivi vitu
Miaka,jinsia
Elimu,uzoefu
Mawasiliano
 
Unaweza kufanya nini kwenye hiyo field? Faida siku hizi ipo kwenye kutengeneza vifaa vya electronic...jiongeze hapo ulipo jitangaze mtaani Kwako Kwanza kuwa wewe unaweza kutengeneza hardware za simu, computer nk.
2. Kama unajua maths target madarasa ya mtihani hasa Form Four hapo nenda stationary print tangazo lako nunua gundi bandika kwenye nguzo za umeme. Utapata wateja.
Kila la kheri.
 
Umeelewa maada yangu vizuri? Sema haujajua nachomaanisha, ukiona msomi amefikia hatua yakutafuta kazi basi ujue mawazo madogo madogo ameshayachambua ila kuna changamoto zake, Ni kheri mtu kama huna connection tulia tu.
 
Wewe Una immaturity na low level of emotional intelligence Kwa style hii uombe uajiriwe serikalini na sio private sector
 
Pole kwa kukosa ajira mkuu.. ushauri wangu ni huu..
Kama una kompyuta hata mbili tengeneza ushawishi, Nenda kwenye center au tution omba hapo project yako. uanzishe hiyo project ya kufundisha basic ya computer kwa gharama nafuu.. mapato utashare na mwenyecenter kwenye kila kichwa atachukua percent yake..
Kumbuka wanafunzi waliomaliza std 7 au form four wanapenda sana izo mambo.. Jaribu hilo.. ukishidwa uje tukupe plan B.
 
Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
Tunahitaji Mwl wa computer lakini pia awe na uwezo wa kazi za technician (Installation, networking graphics,support and computer services) Tuwaliane---0717157640 /0754469894
 
Back
Top Bottom