SeriuosIdea
New Member
- Jan 6, 2025
- 3
- 1
Wewe Una immaturity na low level of emotional intelligence Kwa style hii uombe uajiriwe serikalini na sio private sectorUmeelewa maada yangu vizuri? Sema haujajua nachomaanisha, ukiona msomi amefikia hatua yakutafuta kazi basi ujue mawazo madogo madogo ameshayachambua ila kuna changamoto zake, Ni kheri mtu kama huna connection tulia tu.
Tunahitaji Mwl wa computer lakini pia awe na uwezo wa kazi za technician (Installation, networking graphics,support and computer services) Tuwaliane---0717157640 /0754469894Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada