Nimesoma mahali, kuna mwaka BBC walidanganya watu kwenye sikukuu ya wajinga

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,042
Reaction score
3,095
Walidanganya watu kwa kupitia watangazaji wao maarufu, walitangaza kwamba kuna sehemu watu wanavuna Tambi,

Walielezea kwa kina kilimo cha Tambi kiasi kwamba ma milioni ya wasikilizaji wakaanza kupiga simu kuulizia jinsi ya kupanda tambi nyumbani kwao.

Hii inaonyesha jinsi ambavyo watu wanaoaminika wakisema kitu wanaweza kuaminiwa na jamii nzima bila kuhoji
 
Si ndio haya haya ya li maulid kitenge kusema ana imani na ripoti ya Chande...wcng sana hawa hata kwenye dp world walitumika qmmmke zao
 
Back
Top Bottom