chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
ni kweli mfano nikija kilasiku jukwaani kuwaelezea maisha yangu las vegas baada ya muda kila mtu atajua nipo Las VegasMoja ya machapisho ya Adolf Hitler aliwahi kusema kwamba Uongo ukurudiwa kutamkwa sana mbele za watu hugeuka kuwa ukweli
Si ndio haya haya ya li maulid kitenge kusema ana imani na ripoti ya Chande...wcng sana hawa hata kwenye dp world walitumika qmmmke zaoWalidanganya watu kwa kupitia watangazaji wao maarufu, walitangaza kwamba kuna sehemu watu wanavuna Tambi,
Walielezea kwa kina kilimo cha Tambi kiasi kwamba ma milioni ya wasikilizaji wakaanza kupiga simu kuulizia jinsi ya kupanda tambi nyumbani kwao.
Hii inaonyesha jinsi ambavyo watu wanaoaminika wakisema kitu wanaweza kuaminiwa na jamii nzima bila kuhoji
imagine kwamba japo wewe ni @mr pia kuna watu watakuamini hawakosekaniNina bilion 300 gheto afu sijui cha kufanyia